Jenga chanika 1.8 mil

Jenga chanika 1.8 mil

Ksmas

Kama ipo kwenye ramani na haina hati ni kazi bure jombaa, kwani ramani ina miundombinu na palipo miundombinu kwa kiwanja cha makazi kuna hati, mfano eneo la usamini
Mjomba thnx fo interest pia kutengeneza uhakik zaid biashara huwa tunafanya mahakaman au ofis ya serikal ya mtaa n chaguo kwa mteja anapoona inamuwia rahis
 
hivi ili jina la chanika lina maana gani? Maana haya majina yana beba maroho.

Mfano Mara. Tafsiri ya Neno Mara ni Machungu. Kibiblia, sasa Angalia Mara Hakuna Machungu?

Watu mnayokaa maeneo hayo yenye Majina ya Ajabu, Ajabu. Jaribuni kuyaombea Majina Ayo Ili Mapepo yatokanayo na Majina Ayo yasiwe na Athari juu ya Maisha yenu.

Mfano Uwanja wa Fisi! Angalia vijana pale walivyo garagazwa.

Sio mahala pake ..peleka jukwaa lingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom