Jeneza lenye kiyoyozi ndani

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,280
Jeneza la aliye kuwa mfalme wa roma Florin Cioaba aliye fariki wiki moja iliyopita kwa mshituko wa moyo uko uturuki



















Hivi karibuni. watanzania pia tulishangazwa na jeneza la bilionea wa arusha ambaye jeneza lake lilikuwa linafunguliwa. na remote control
 
Mfalme wa roma! Acha utani bana roma haina mfalme na roma ni mji mkuu wa italy waziri mkuu ndo mtendaji ila ina rais na vatcan iko ndani ya mji wa roma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…