meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
Labda sikuziona hizo makala. Jenerari huyu huyu ninayemfahamu ampigie chapuo Lowassa?
Au fasihi aliyotumia Ulimwengu ilikuwa kubwa kwa mleta maada?
Mwenye link ya hizo makala tafadhali azimwage hapa.
Isije ikawa mleta maada anaugua meningitis?
Alikuwa anamkingia kifua sema kitaalam sana
Edward Lowassa wants to be president, and he has gathered such steam in his quest as to look unstoppable. He has collected sponsors and supporters countrywide on a scale that all his rivals put together cannot equal: Where the requirement was a mere four hundred or so signatures to allow him to file the requisite forms, he has handed in about a million, making the party requirement look silly.
Party bigwigs from different eras of the country's history have been unabashed in their public support for this candidate. Social media platforms are flooded with his portraits and "Friends of Lowassa" messages. Attempts have been made to clear his name regarding the independent energy contract scandal over which he resigned as premier eight years ago.
There have been statements to the effect that founding father Julius Nyerere never opposed him in a past attempt to become president, and that is a lie. As though it mattered. It doesn't matter now whether or not Nyerere opposed him in the past; he cannot oppose him now, and the man is rocking and rolling.
Lowassa is on a catch-me-if you-can lap that has left everyone agape.
Now the process of sifting through the candidacies gets underway, as party structures decide whom to axe and whom to bless, this to be done in two weeks or so.
https://www.jamiiforums.com/politic...mu-can-t-stop-him-this-time.html#post13227642
hiyo hapo juu ni article ya juzijuzi.
Nashukuru kwa link na ukweli wenyewe nilishaisoma kwenye the East African.
Suala lenyewe sasa. Kwa uelewa wangu au upeo wangu wa lugha ya malkia, Ulimwengu hakumpigia chapuo EL katika makala hiyo. Kinyume chake anakejeli iweje mposaji atoe mgodi wa dhahabu wakati baba mkwe mtarajiwa anataka ng'ombe wawili tu wa kulimia?
https://www.jamiiforums.com/politic...wete-hots-up-lowassa-is-the-man-to-watch.html
hii hapa ni article nyingine na kwa bahati nzuri post namba 5 na namba 6 nilionesha hofu yangu juu ya Ulimwengu.
Alitumia lugha ya malkia kuhadaa na kuwapumbaza watanzania lakini lengo kuu ni kupumbaza jumuiya ya kimataifa kuwa EL ndiye...kwamba EL ndio mwenye nguvu ...hapa alikuwa ana -echo misemo ya Team lowassa Kingunge inclusive.
...Jenerali hawezi kumpigia chapuo lowassa we...acheni kumiss quote huyu nguli mzalendo....mnajiaibisha sana.....Ni mwaka wa uchaguzi ambapo tunategemea na kutarajia watu muhimu au viongozi au waandishi kuchukua na kuupamba upande wanaouamini au kutegemea maslahi.
Kuna mada iliwahi kuonekana humu jamvini lakini ilipotea kwa bahati mbaya.
Mada hiyo ilionya waandishi wa habari kutohadaa wananchi juu ya nani anayekubalika na kuwa mgombea wa urais.Mada hii ilikumbushia madhara ya wanahabari kuwaaminisha watanzania kuwa huyu ndiye kumbe ni bomu.sijui mada hiyo imepotelea wapi ndio maana nimeleta mada hii hapa jamvini.
Jenerali Ulimwengu mwandishi mkongwe na mwenye heshima katika tasnia ya uandishi na serikali na nchi hii au East Africa kwa ujumla.
Mwandishi huyu aliitumia kalamu yake na ujuvi wake wa serikalini kutushawishi watanzania,wazalendo,ccm na Team lowassa kuwa EL ndiye mgombea anayekubalika na ni mgombea sahihi.
Kazi hii aliifanya kwa ustadi mkubwa kwa kutumia lugha ya na platform za kilami kujaribu kuuza jina la EL.
Inawezekana aliifanya kazi hii kwa utashi au kwa kuhongwa lakini tunamshukuru Mungu kuwa amemuumbua!
Ulimwengu alitoa articles mbili ninazozikumbuka na kuziona hapa JF zote zikituaminisha madudu au hadaa kwamba EL ndio.
Nashukuru responce ya wanaJF zilikuwa chache pengine ni ku-ignore au ignorance ya members wa wakati huu.
Jishughulisheni kuzitafuta articles hizo humu JF mtanielewa naongelea nini.
Sasa ombi langu kwa comrade Ulimwengu ni kuja kivingine kama ataweza au kununuliwa!
Nataka azithibitishe articles zake kwa kuhakikisha ccm inadondoka kwa kuwa maoni yake yake yalikuwa sahihi.
pole natoa kwa wazee wote wa vibahasha!!!
Kumbe tatizo Ni lugha
Hizi lugha za queen...basi mie nimemuelewa tofauti na mleta mada..ngoja nijichimbie tena.
hahaaa! eti mwl can't stop him this time. now Kanali Kikwete stop him.https://www.jamiiforums.com/politic...mu-can-t-stop-him-this-time.html#post13227642
hiyo hapo juu ni article ya juzijuzi.