ZENITH JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 1,063 Reaction score 990 Aug 27, 2012 #1 Hakyanani tutaua mtu mwaka huu.Lazima tuunde mid-field moja ya hatari saana.Tumemtwaa kwa 42million,atavaa jezi namba 19 na tumempa mkataba wa miaka mitano(5).karibu sana jembe Modric.
Hakyanani tutaua mtu mwaka huu.Lazima tuunde mid-field moja ya hatari saana.Tumemtwaa kwa 42million,atavaa jezi namba 19 na tumempa mkataba wa miaka mitano(5).karibu sana jembe Modric.
N ndomyana JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,725 Reaction score 2,263 Aug 27, 2012 #2 Daaa nnae furaha sana,. Bado beki ya kusaidiana na pepe na foward1 kina benzena na hinguin ni vituko tu
Daaa nnae furaha sana,. Bado beki ya kusaidiana na pepe na foward1 kina benzena na hinguin ni vituko tu