jamani acheni kuwananga vodacom.ina maana wote mliochangia hapo juu hamperuzi facebook?kwenye wallpage yao wametoa tangazo kwamba kuna tatizo la kiufundi ktk njia ya mawasiliano hasa ya internet.hebu m-like page yao muwe mnapata updates zao labla ya kulalamika jamiiforums.