Jee huu ni utapeli au ni ukweli?, msaada!


matapeli hayo toka west africa. Utashia kubaya (block).
 
Mwisho wa siku atakuambia tuma USD 500 ili ashughulikie kuzitoa hizo hela zake, then tuma 1000, then 1500. Huyo ni tapeli wa kinigeria achana nae

hata Waghana wana haka kamchezo. Mm nmetumiwa nyingi 2! Akituma sms ucmjibu na kamwe uctoe bank account or pin
 
MUMENIKUMBUKA?QUOTE=Heaven on earth;6426237]hao ni wezi,mie washanitumiaga barua na stori zinafanana na zako,
picha anaweza kazitoa tu huko mtandaoni we utamjulia wapo.....,
wezi hao kaka....,

halafu mbona huyo dada kama anafanana na Zahra White ile mbaya[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…