babake nasreen
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 702
- 490
Nakumbuka miaka miwili nyuma kukiwa na mchamato wa kampeni za kutafuta wabunge na marais wa bara na visiwani kulikuwa na kashkash nyingi sana kila mtu akiamini mgombea wake atapata dhamana ya kuongoza ktk nafasi kadhaa ktk nchi hii ya Tz.
Ila kuna kumbukumbu ambazo ctakuja nizisahau:-
1. Ni pale mambo yalipokuwa yapo hot, tushaanza kuona ktk tv zetu, yani ile; kisiwa ndui CCM 83, CUF 206, jahazi asilia 07, Act 02 nk. Ile vuuup Jecha S. Jecha alipoibuka na kufuta uchaguzi!.. Daaa
2. Jaji Lubuva sisemi ila ile Lowassa Edward Ngoyai, Pombe Joseph John Magufuli, Lungwe Hashimu Spunda, Anna Mngwira ile huu baa million 6 kwa million 8.
Dooo achaa kilichotokea kitaani sitasahau.
Hebu tuambizane wanajamvi tukio gani linakukumbusha enzi ile ya uchaguzi na kutangazwa kwa matokeo..