Jeans Kali kwa 17000

Unapatikana wapi?
Unafanya delivery?
Mfumo wa malipo ukoje?
Bei inapungua kwa wholesale?

Toeni taarifa kamili sio kila mtu anapenda kujaza contacts kwenye simu....
Napatikana kinondon DSM
Ndio delivery ipo
Unalipa kwa simu au ukiletewa
Unataka pcs ngapi mkuu?
 
Kijana Maple7 nataka mbili, blue na black flani.. weka sample za kutosha, navaa 36
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…