Je, Wivu ni dalili ya mapenzi ya dhati?

Je, Wivu ni dalili ya mapenzi ya dhati?

Murete

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2016
Posts
246
Reaction score
102
Wakuu habari za mchana huu,

Leo nimekutana na huu mjadala mahali ulionifanya nilete hilo swali hapo juu.

Ni hivii, nimekutana na mtu siku za karibuni na kuanzisha urafiki wa kawaida tu. Sasa katika mazungumzo likaja swala la mapenzi na wivu. Mwenzangu anaamini kuwa na wivu sio mapenzi kwa kuwa, wivu ni dalili ya kumnyima mwenzio kupata kile roho inapenda. Kwamba, kwake yeye hata kama ikitokea akaoa, hatomnyima mke wake kutiana na mwanaume mwingine yeyote atayependa. Tena ikibidi atume na video kabisaa ili impe stimu wakati manzi ake analiwa.

Wakuu, je ni kweli wivu ni dalili ya uchoyo? Na kwamba kama unampenda mtu kwa dhati huwezi kuwa mchoyo kwake. Kule uzunguni mume/mke huwa wanapeana nafasi ikitokea mmoja wapo kamtamani mtu mwingine wanakubaliana kuonja. Tuwaeleweje hawa watu? Maana ni binadamu wenzetu.

Nawasilisha hoja kwa majadiliano.

Karibuni
 
Wivu??? Kwa Hiyo kama sina wivu ndio nikuruhusu uonjwe na mtu kwa vile roho inapenda???

Wazungu naamini ni miongoni mwa jamii inayoheshimu mahusiano! Unafaham Nini kiliwapata Wyne Rooney, J Terry walipo cheat??? Wakina beck?? Wakina Chriss brown...??

Wivu uwe Wa wastani tuu... Kuna raha fulan babe kukufatilia fatilia....
Ukipenda kwa dhat utaelewa...hii kitu
 
Wivu uko wa Aina Tatu, Kuna wivu ambao mtu Ana kupenda kwel na anakujali hivyo acngependa kiumbe mwingine awe karibu yako, Kuna wivu kwa sababu ww ni mpenz wake ila Hana upendo na ww ila hataki ugawe penz pengine hivyo anakua na wivu WA hivyo afu wivu WA Tatu ni mtu anakua na wivu na ww kasababu tu ww ni mtu karibu kama mke au mume ila hakupend ila lengo Lake hapend ugawe penz pengine so kumjua mtu Ana wivu kwa kua anakupenda kwel ni vizur kuangalia matendo ya hayo mahusiano yenu, yakoje
 
Mie demu wangu wa Kwanza kabisa alinitambulisha kwa mdogo wake (wa kike)
Basi bana, mdogo wake yupo dar. Mie nikija dar kuhangaikia Professional yangu ya Engineering.
Demu wangu kabaki mkoani huko..

EBANA.
Mdogo mtu kazidisha mazoea Namie...
Sista mtu kuckia kiroho kikampwita pwitii pwitii...
Akampiga dogo mkwala akate mazoea Namie, afute namba yangu...
ikawa ugomvi kabisa, hadi wakagombana na wazazi wao wakajua chanzo cha uhasama wao.

Bahati mbaya dogo nae kumbe alikua amekolea kwa engineer... Mwanaume nikasema yeeees embe dodo bado bichi hili nakula na chumvi...

Dogo nikamtafuna, tena sana tuu.
Niliumia mie kuambiwa natoka na dada wa demu wangu wakat not True...
Hivo kwa hasira nikaamua nimtafune kweli kweli LAIVU.

HATA HIVO
Ugomvi ulizikomaa sana nikaona eeeh isiwe taabu mazee.... Mwanaume nikapiga chini wote sista na mdogo mtu...
Nadhan sasa hivi watakua washapatana..

WIVU MBAYA SANA MAZEE..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Mmmh, jaman wanaume unakula shemeji yako? Kwel ni mwendo wa Kas, usiongozwe na mwili jaribu kufikiria unatenda nn sasa ulifaidika nn Kwan akisema na huku hujafanya Kuna shida gan,
 
Mie demu wangu wa Kwanza kabisa alinitambulisha kwa mdogo wake (wa kike)
Basi bana, mdogo wake yupo dar. Mie nikija dar kuhangaikia Professional yangu ya Engineering.
Demu wangu kabaki mkoani huko..

EBANA.
Mdogo mtu kazidisha mazoea Namie...
Sista mtu kuckia kiroho kikampwita pwitii pwitii...
Akampiga dogo mkwala akate mazoea Namie, afute namba yangu...
ikawa ugomvi kabisa, hadi wakagombana na wazazi wao wakajua chanzo cha uhasama wao.

Bahati mbaya dogo nae kumbe alikua amekolea kwa engineer... Mwanaume nikasema yeeees embe dodo bado bichi hili nakula na chumvi...

Dogo nikamtafuna, tena sana tuu.
Niliumia mie kuambiwa natoka na dada wa demu wangu wakat not True...
Hivo kwa hasira nikaamua nimtafune kweli kweli LAIVU.

HATA HIVO
Ugomvi ulizikomaa sana nikaona eeeh isiwe taabu mazee.... Mwanaume nikapiga chini wote sista na mdogo mtu...
Nadhan sasa hivi watakua washapatana..

WIVU MBAYA SANA MAZEE..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Ok.. Kwaio wivu haujengi kulingana na story ako. Je kama huyo manzi ako angekuruhusu uchape mdogo wake bila shida ungemchukuluaje? Labda mahusiano yenu yangedumu au ndio ungehamisha penzi kwa mdogo mtu?
 
Wivu uko wa Aina Tatu, Kuna wivu ambao mtu Ana kupenda kwel na anakujali hivyo acngependa kiumbe mwingine awe karibu yako, Kuna wivu kwa sababu ww ni mpenz wake ila Hana upendo na ww ila hataki ugawe penz pengine hivyo anakua na wivu WA hivyo afu wivu WA Tatu ni mtu anakua na wivu na ww kasababu tu ww ni mtu karibu kama mke au mume ila hakupend ila lengo Lake hapend ugawe penz pengine so kumjua mtu Ana wivu kwa kua anakupenda kwel ni vizur kuangalia matendo ya hayo mahusiano yenu, yakoje
Sasa hizo aina zote ulizotaja ni matokeo ya mapendano. Je, hizo mawivu zinajenga au kubomoa?
 
Wivu??? Kwa Hiyo kama sina wivu ndio nikuruhusu uonjwe na mtu kwa vile roho inapenda???

Wazungu naamini ni miongoni mwa jamii inayoheshimu mahusiano! Unafaham Nini kiliwapata Wyne Rooney, J Terry walipo cheat??? Wakina beck?? Wakina Chriss brown...??

Wivu uwe Wa wastani tuu... Kuna raha fulan babe kukufatilia fatilia....
Ukipenda kwa dhat utaelewa...hii kitu
Inasemekana upendo wa dhati hau-hukumu wala kuwa na wasi wasi. Upendo wa dhati huvumilia yote. Je, kwa hilo... Wivu una nafasi gani?
 
Kila kitu ni kwa kias wivu unapozid inakua kero kwa Hao wapendanao ila wivu katika mapenz ya kwel muhimu, mana huko ndiko kuona mpenz wako ndio kila kitu au mumewe, mkewe, na usingependa penz Hilo liende kwa mtu mwingine
 
Mie demu wangu wa Kwanza kabisa alinitambulisha kwa mdogo wake (wa kike)
Basi bana, mdogo wake yupo dar. Mie nikija dar kuhangaikia Professional yangu ya Engineering.
Demu wangu kabaki mkoani huko..

EBANA.
Mdogo mtu kazidisha mazoea Namie...
Sista mtu kuckia kiroho kikampwita pwitii pwitii...
Akampiga dogo mkwala akate mazoea Namie, afute namba yangu...
ikawa ugomvi kabisa, hadi wakagombana na wazazi wao wakajua chanzo cha uhasama wao.

Bahati mbaya dogo nae kumbe alikua amekolea kwa engineer... Mwanaume nikasema yeeees embe dodo bado bichi hili nakula na chumvi...

Dogo nikamtafuna, tena sana tuu.
Niliumia mie kuambiwa natoka na dada wa demu wangu wakat not True...
Hivo kwa hasira nikaamua nimtafune kweli kweli LAIVU.

HATA HIVO
Ugomvi ulizikomaa sana nikaona eeeh isiwe taabu mazee.... Mwanaume nikapiga chini wote sista na mdogo mtu...
Nadhan sasa hivi watakua washapatana..

WIVU MBAYA SANA MAZEE..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Mkuu mwandisi mpaka kwenye papuchiii daaah wweee noma mtu na dada yake
 
Mimi yasingekuwa magonjwa kama ukimwi,u.t.i,kaswende,kisonono,nisingekuwa na wivu kwa mke wangu kabsa,ila haya magonjwa yananitisha hvyo lazima kawivu kawepo ila sio sana,wivu mkubwa huwa unakera
 
Mie demu wangu wa Kwanza kabisa alinitambulisha kwa mdogo wake (wa kike)
Basi bana, mdogo wake yupo dar. Mie nikija dar kuhangaikia Professional yangu ya Engineering.
Demu wangu kabaki mkoani huko..

EBANA.
Mdogo mtu kazidisha mazoea Namie...
Sista mtu kuckia kiroho kikampwita pwitii pwitii...
Akampiga dogo mkwala akate mazoea Namie, afute namba yangu...
ikawa ugomvi kabisa, hadi wakagombana na wazazi wao wakajua chanzo cha uhasama wao.

Bahati mbaya dogo nae kumbe alikua amekolea kwa engineer... Mwanaume nikasema yeeees embe dodo bado bichi hili nakula na chumvi...

Dogo nikamtafuna, tena sana tuu.
Niliumia mie kuambiwa natoka na dada wa demu wangu wakat not True...
Hivo kwa hasira nikaamua nimtafune kweli kweli LAIVU.

HATA HIVO
Ugomvi ulizikomaa sana nikaona eeeh isiwe taabu mazee.... Mwanaume nikapiga chini wote sista na mdogo mtu...
Nadhan sasa hivi watakua washapatana..

WIVU MBAYA SANA MAZEE..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Unafurahi mwenyewe unajiona kidume kumla mtu na mdogo ake
 
Back
Top Bottom