Mkia!???Sup ya mkia ni balaah yaan,basi wakati unakula mkia hata mtu akikugusa husikii kabisa
hiyo supu inapatikana pale sanawari bar ya Simba grill. hiuo supu ni balaa,humo ndani kuna mkia wa ngombe kongoro la ngombe, nyama za kichwa utumbo, yaaani ukiinywa josho linakutiririka hadi magotini. kitu cha ara chuga hicho.nilikuwa nikitoka hapo kwa kuwa salio lilikuwa halisomi naenda kushushia na banana wine chupa mbili.
eeenh bana...kwa udenda...sie huku kwetu tunaita UDELULE......Kwa udenda eeh!!?