Kwa kawaida ya familia zetu za kiafrika, situation kama hiyo inaonyesha kabisa kuna bonge la bifu linaendelea humo ndani. Huyo mke anaku tease tu kwa kukupatia condom. anataka kukuonyesha kuwa wewe ni malaya kama kawaida yako na yeye pia anajiachia kama ujuavyo siku zote. Mnakaa pamoja lkn mapenzi zero. kama sio 'till death do us apart' kila mtu angeshika hamsini zake.
Mke akupe condom wakati unasafiri!!!!
kwanza akikuta condom ktk mfuko wa sarawili, timbwili la kufa binadam huzuka. sometimes mashitaka hadi ukweni.