georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
Kumekuwepo na Matamko ya kuwazuwia Wapinzani wasifanye mikutano.
Matamko haya yamekuwa yakitolewa na ama Mkuu wa Police Msaidizi wake au Kova wa Dar, juzi yametolewa na Waziri Mkuu yaani mtu mkubwa kabisa.
Sisi wenye akili tumeanza kuamini kuwa ni Viongozi hao walikuwa wakiwatuma Police kuzuwia.
Cha kujiuliza je? Waziri Mkuu ana Nguvu ya Kisheria ya kuzuwia vyama visifanye kazi yake?