Chilavet naye ilikuwa ni shida, kweli wakati ni ukutaPia kuna Jose Luis Chilavert
Ilkua si yakitotoMchanyato wake na kina Carlos verderamma na escobar ulikuwa tishio amerika ya kusini kipindi kile ila mbwembwe zilimtokea puani alipotaka kumlamba chenga Roger Milla mwaka wa 90 na kupata bao ambalo ushangiliaji wake alienda penye kibendera na kukata mauno ya nguvu hiyo cameroon ya kina makanaky alfonce yombi bertin ebwele bonaventura djonkep huku stiven tataw beki wa kulia akiwa kepteni kushoto kunde.
Mchanyato wake na kina Carlos verderamma na escobar ulikuwa tishio amerika ya kusini kipindi kile ila mbwembwe zilimtokea puani alipotaka kumlamba chenga Roger Milla mwaka wa 90 na kupata bao ambalo ushangiliaji wake alienda penye kibendera na kukata mauno ya nguvu hiyo cameroon ya kina makanaky alfonce yombi bertin ebwele bonaventura djonkep huku stiven tataw beki wa kulia akiwa kepteni kushoto kunde.
Yaah! hapo pana François omam biyiki na nduguye andrew kana biyiki palikuwa pazuri na alfonce yombi golikipa Thomas nkonoMkuu bila kumsahau Bertin Ebwele na Paul Luis Mfede!