Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,314
Technically Probability ni mbili watu kuwa wengi au watu kuwa wachache ingawa realistically wanaweza kuwa wachache; Let alone Siasa za sasa ni wachache sana hupiga Kura, lakini trend inaonyesha mwaka huu watu hawajali na wamechoka na wanasiasa....
Lakini kuna kisingizio ambacho nadhani kuna watu wamepewa iwapo Vituo vitaonekana havina watu (ingawa kuna uwezekano wa kuweka maigizo) lakini wasipoweka hayo maigizo watasema watu hawakuja au wangekuja wengi zaidi ila wameogopa sintofahamu zinazoweza kutokea !!!!
Are we playing into the Devils Hands ?!!!!