C cj21125 JF-Expert Member Joined May 12, 2013 Posts 3,593 Reaction score 3,551 Feb 7, 2014 #1 Mpenzi wako akikuambia we ni "My Number One", basi atakuwa amekuweka wazi kuwa kuna no. 2, no. 3, no. 4, no. 5.... Na ukiambiwa we ni "Special" basi ujue kuna na "Mitumba" pia.
Mpenzi wako akikuambia we ni "My Number One", basi atakuwa amekuweka wazi kuwa kuna no. 2, no. 3, no. 4, no. 5.... Na ukiambiwa we ni "Special" basi ujue kuna na "Mitumba" pia.
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,863 Reaction score 14,350 Feb 7, 2014 #2 mmmh ukisikia "kufikiri kitunduizi" ndio huku...big up