Konokono wote ni "Hermaphrodites"
Kwa maana wanamiliki jinsia mbili (kiume na kike).
Kwenye kujamiiana wanaviziana, atakayeruhusu kupandwa ndiye atataga mayai.
Fikiria binadamu tungekuwa kama konokono na hizi akili zetu ingekuwaje?
Mkeo ukimzingua anakuvizia umelala anakupachika mimba.Mfano
kiwatengu akizingua
shansarie anamtaimu anampiga bend
Arushaone naye akichelewa kurudi home
Lady doctor anampiga mimba
Mokoyo naye
Munkari anamtaimu anampiga mimba
Bishanga naye akirudi amelewa
The secretary anampinga bend
Baba V naye anapigwa mimba,mwenyekiti
Erickb52 naye anapigwa mimba
watu8 kizazi kimeisha yeye hawezi kushika mimba!Unadhani itakuwaje?