JE WAJUA?

umbali kutoka juma 3 mpk ijumaa haulingani na umbali kutoka ijumaa mpk juma tatu.
ukiwa kwenye clockwise direction only
Hii ni Fizikia au kitu gani? Kama ni Fizikia, you are WRONG! Labda kama ni manyanga mengine
 
Je wajua, akili yako inafanya kazi sana ukiwa umelala kuliko ukiwa unaangalia TV?
 
Binadamu hana uwezo wa kutofautisha harufu pindi akiwa amelala usingizi. Mfano ukiweka pilau pembeni yake hatohisi harufu yoyote mbaka pale atakaposhtuka toka usingizini.

Ongezea nyingine.


Si kweli, mimi naweza kutofautisha…..we niletee tu pilau iliyojaa minyama na soda kama 4 hivi, uone kama sitohamka. Kuna watu tuna vipaji jamani, ohoooooo.
 
Je wajua wakati wa kupiga chafya moyo husimama wa mda mpaka chafya iishe
 
Je wajua kuwa mbegu moja ya sperm ina uwezo wa kubeba taarifa zenye ukubwa wa GB32
 
Mwenye kujua kwanini ukitekenywa na mtu mwingine unashtuka/kucheka tofauti na ukijitekenya mwenyewe atupe maelezo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…