EthanMallaky Member Joined Oct 28, 2017 Posts 57 Reaction score 30 Oct 28, 2017 #1 je wajua Tanzania mi nchi pekee Africa iliyobarikiwa kuwa na rasilimali Asilia nyingi zaidi?? swali ni je watanzania tunahusika vipi kutunza rasilimali zetu,au tunaishia kulaumu viongozi wa serikali tuu!!kila mmoja wetu anapaswa kuwajibika.
je wajua Tanzania mi nchi pekee Africa iliyobarikiwa kuwa na rasilimali Asilia nyingi zaidi?? swali ni je watanzania tunahusika vipi kutunza rasilimali zetu,au tunaishia kulaumu viongozi wa serikali tuu!!kila mmoja wetu anapaswa kuwajibika.
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 11,089 Reaction score 16,475 Oct 28, 2017 #2 Weee unajua km huko Serengeti kuna mbuga za waarabu.Acha tuuu hata ule mlima wanasema siyo kwetu, watalii wanashukia huko alafu wanakuja huko.
Weee unajua km huko Serengeti kuna mbuga za waarabu.Acha tuuu hata ule mlima wanasema siyo kwetu, watalii wanashukia huko alafu wanakuja huko.
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,534 Oct 29, 2017 #3 Huu ni uchochezi.
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,534 Oct 29, 2017 #4 Keep quite. Magufuli is on stearing. Kila kitu kitakua okey