Je wajua linapokuja swala la luninga ZANZIBAR waliwahi sana ukilinganisha na bara
TV zilikuwa zimetapakaa kila kona ya ZNZ hadi vijiwe vya kahawa, wacheza drafti, wacheza karata nk, wameziweka nje hata mpita njia akijisikia kuangalia taarifa ya habari, mpira na mengineyo karibu
Ukija bara zilikuwa chache tena kuangalia kwa kanda sio stesheni ya moja kwa moja mfano - TVZNZ