Bwana Bima JF-Expert Member Joined Jul 29, 2014 Posts 430 Reaction score 931 Jan 7, 2016 #1,001 je wajua mtoto mdogo wa mwezi mmoja ana uwezo wa kupita katka mshipa wa nyangumi tena bila shida???
Bwana Bima JF-Expert Member Joined Jul 29, 2014 Posts 430 Reaction score 931 Jan 7, 2016 #1,002 Abastian said: Je wajua kwamba kwenye mikono yako kuna 18 na 81 jumla 99 ambayo ndo majina ya mwenyez mungu kwa mujibu wa uislamu. Click to expand... acha uongo wako tuonyeshe hizo tarakimu au ipo kwako tu
Abastian said: Je wajua kwamba kwenye mikono yako kuna 18 na 81 jumla 99 ambayo ndo majina ya mwenyez mungu kwa mujibu wa uislamu. Click to expand... acha uongo wako tuonyeshe hizo tarakimu au ipo kwako tu
GEOMO Senior Member Joined Jul 11, 2009 Posts 105 Reaction score 23 Jan 7, 2016 #1,003 Crimea said: Hii thread ilikuwa nzuri lkn watu wanaichafua kwa ushabiki wao wa kijinga..na pia mtu analeta kitu cha kipuuzi kabisa tena kisicho na mashiko. Click to expand... UKITAKA KUJUA UWEZO WA MTU KUFIKIRI USIJISUMBUE KUMUULIZAMASWALI MPE TU NAFASI YA YEYE KUULIZA MASWALI
Crimea said: Hii thread ilikuwa nzuri lkn watu wanaichafua kwa ushabiki wao wa kijinga..na pia mtu analeta kitu cha kipuuzi kabisa tena kisicho na mashiko. Click to expand... UKITAKA KUJUA UWEZO WA MTU KUFIKIRI USIJISUMBUE KUMUULIZAMASWALI MPE TU NAFASI YA YEYE KUULIZA MASWALI
GEOMO Senior Member Joined Jul 11, 2009 Posts 105 Reaction score 23 Jan 7, 2016 #1,004 mandella said: mmmh hapa sasa akili kichwani. Click to expand... Inasemekana kimtokacho mtu ndicho kilichomjaa naendelea na utafiti kulidhibitisha hilo
mandella said: mmmh hapa sasa akili kichwani. Click to expand... Inasemekana kimtokacho mtu ndicho kilichomjaa naendelea na utafiti kulidhibitisha hilo
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Jan 8, 2016 #1,005 Je wajua China ndio nchi ya kwanza Ulimwenguni kuanza kutumia Pesa ya Noti
JAMII-ASM JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 1,305 Reaction score 524 Jan 8, 2016 #1,006 Je , wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu wa sasa wanaoishi Misri ya leo ? Africana Studies . Tomb of Rameses III Na Pharaoh Taharqa (Tirhaka) alipigana vita na akaweza kuwaokoa wayahudi na Jerusalem isiangamizwe na wassyria ? Isaiah 37:9 2 Kings 19:9 Commentaries: When he heard them say concerning Tirhakah king of Cush, "Behold, he has come out to fight against you," he sent messengers again to Hezekiah saying,
Je , wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu wa sasa wanaoishi Misri ya leo ? Africana Studies . Tomb of Rameses III Na Pharaoh Taharqa (Tirhaka) alipigana vita na akaweza kuwaokoa wayahudi na Jerusalem isiangamizwe na wassyria ? Isaiah 37:9 2 Kings 19:9 Commentaries: When he heard them say concerning Tirhakah king of Cush, "Behold, he has come out to fight against you," he sent messengers again to Hezekiah saying,
kichekoh JF-Expert Member Joined Sep 19, 2015 Posts 1,374 Reaction score 1,482 Jan 8, 2016 #1,007 Je wajua huu uzi unatakiwa uwe sticky!!
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,434 Reaction score 59,289 Jan 9, 2016 #1,008 Benjamin Musoro said: je wajua mtoto mdogo wa mwezi mmoja ana uwezo wa kupita katka mshipa wa nyangumi tena bila shida??? Click to expand... Mi najua ni mtu mzima
Benjamin Musoro said: je wajua mtoto mdogo wa mwezi mmoja ana uwezo wa kupita katka mshipa wa nyangumi tena bila shida??? Click to expand... Mi najua ni mtu mzima
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,434 Reaction score 59,289 Jan 9, 2016 #1,009 Je wajua Kiboko huzaa majini
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,434 Reaction score 59,289 Jan 13, 2016 #1,010 Je wajua 1962 Tanganyika kulizuka ugonjwa wa kucheka ambao ulichukuwa mwaka mzima sehemu nyingi nchini, symptoms zingine zilikuwa ni kulia, kuwashwa na maumivi ya mwili
Je wajua 1962 Tanganyika kulizuka ugonjwa wa kucheka ambao ulichukuwa mwaka mzima sehemu nyingi nchini, symptoms zingine zilikuwa ni kulia, kuwashwa na maumivi ya mwili
NDAGLA JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 2,490 Reaction score 1,357 Jan 13, 2016 #1,011 Je wajua?mifupa midogo zaidi kwenye mwili wa binadamu inapatikana sikioni.
bintishomvi JF-Expert Member Joined Mar 21, 2015 Posts 1,164 Reaction score 833 Jan 13, 2016 #1,012 Je wajua mipila ya kupitishia wagonjwa mkojo utengenezea manati ya kupigia kitu au wanyama.
R Recae JF-Expert Member Joined Jul 9, 2015 Posts 237 Reaction score 161 Jan 13, 2016 #1,013 SNAP J said: Je wajua ni asilimia 10 tu ya wanadamu dunia hutumia mkono wa kushoto (yaani lefties)? Click to expand... Je wajua asilimia 10 cyo ndogo? Pia huenda ikawa kweli coz hata me natumia left hand. Last edited: Jan 13, 2016
SNAP J said: Je wajua ni asilimia 10 tu ya wanadamu dunia hutumia mkono wa kushoto (yaani lefties)? Click to expand... Je wajua asilimia 10 cyo ndogo? Pia huenda ikawa kweli coz hata me natumia left hand.
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Jan 13, 2016 #1,014 erick daniel said: Je wajua asilimia 10 cyo ndogo? Pia huenda ikawa kweli coz hata me natumia left hand. Click to expand... Na mimi pia
erick daniel said: Je wajua asilimia 10 cyo ndogo? Pia huenda ikawa kweli coz hata me natumia left hand. Click to expand... Na mimi pia
N nyambogo JF-Expert Member Joined Oct 14, 2012 Posts 283 Reaction score 111 Jan 14, 2016 #1,015 SNAP J said: Je wajua asilimia kubwa ya Watanzania ni watoto Click to expand... Toa na takwimu mkuu
R Recae JF-Expert Member Joined Jul 9, 2015 Posts 237 Reaction score 161 Jan 14, 2016 #1,016 SNAP J said: Je wajua ni asilimia 10 tu ya wanadamu dunia hutumia mkono wa kushoto (yaani lefties)? Click to expand... Je wajua asilimia 10 cyo ndogo? Pia huenda ikawa kweli coz hata me natumia left hand. Pamoja sana ndugu
SNAP J said: Je wajua ni asilimia 10 tu ya wanadamu dunia hutumia mkono wa kushoto (yaani lefties)? Click to expand... Je wajua asilimia 10 cyo ndogo? Pia huenda ikawa kweli coz hata me natumia left hand. Pamoja sana ndugu
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Jan 14, 2016 #1,017 Je wajua jangwa la Sahara ni jangwa kubwa Ulimwenguni
Y yonga JF-Expert Member Joined Mar 17, 2012 Posts 1,999 Reaction score 2,284 Jan 14, 2016 #1,018 Je wajua msenge sio lazima aliwe?
D DISGUISE16 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 372 Reaction score 261 Jan 14, 2016 #1,019 Je wajua binadamu hutumia only 2% ya brain
Coke Zero JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 1,024 Reaction score 544 Jan 15, 2016 #1,020 yonga said: Je wajua msenge sio lazima aliwe? Click to expand... Hapa sijaelewa