Nafikiri tatizo lipo kwetu waswahili juu ya neno LAKI (elfu mia moja) tumelitoa wapi tukakosa maneno mengine kwa MILIONI MIA MOJA, BILIONI MIA MOJA, nk. Nafikiri wazungu mtiririko wao hauna mshikeli kabisa: 100thousands, 100millions, 100billions, 100trillions, etc. Wenzetu hawana LAKI!