JE WAJUA KWAMBA MIMI NDIO MTU NILIYEWAI KUANDIKISHWA MAPEMA KWENYE BVR TOFAUT NA WATU WANAOKAA HAD MASAA 10 WAKUTAPO FOLENI ilikuwa hv nilikuta watu zaid ya 500 na mvua ilikuwa inanyesha cha ajabu kalamu zikawa zimegoma ile kufika nikaagzwa kalamu kisha nikaenda niliporud nikapita mojakwamoja nikaanza.mie kuandikishwa wakafatia wengine alaf nikapiga picha nikasain na kupewa kitambulisho nilifika kituon saa 4 na dk 22 nikaondoka saa 4 na dk 35