je wajua baadhi ya jamii ya kabila la wajaluo mwanamke akifiwa na mumewe na ikakosekana ndugu wa kumrithi basi mwanamke huyo haruhusiwi tena kuolewa
na je wajua wakurya na jamii zake ukioa mwanamke kisha mwanamke huyo mkaachana na akaenda kuolewa mji mwingine bas watoto atakaozaa huko mji mwingine wanahesabika ni watoto wako wewe mume wa kwanza mlieachana??