tunajua simba ni mfalme wa nyika lakini inasemekana hana ujanja kwa wanyama wafuatao yaani hana ubavu wa kupambana nao akiwa peke yake yaan fight ya one to one, wanyama hao ni TEMBO,KIFARU,KIBOKO,CHUI NA NYATI. ila kama anayefahamu zaidi kuhusu hii issue karibu atujuze hapa