Je wajua?
1. Mamba hatafuni anakata vipande na kumeza.
2. Macho ya mamba hayana mifuniko (eyelids)
3. Meno ya mamba hayagusani kwenye surface akifunga mdomo, binadamu ya juu na chini yanagusana (oclussion)
4.Tembo anaweza kunusa harufu ya maji kutoka umbali wa zaidi ya km 3.
5. Papa (shark) anaweza kupata harufu ya TONE MOJA LA DAMU ndanid ya maji akiwa umbali wa mita 400! (Usioge baharini ukiwa na kidonda kibichi)
6.Papa akiwa kwenye maji hawezi kusimama huku akielea. Ni lazima awe ana move ili aelee. Density yake ni kubwa kuliko ya maji na hana swim bladder