Je wajua Siri ya urembo wa ngozi ya Malkia Cleopatra wa Misri ambaye anatajwa kuwa mwanamkr mzuri kuliko wote ilikuwa kujipaka maziwa ya punda yaliyochanganywa na asali ya nyuki wadogo usiku wakati wa kulala....
je wajua mpaka kufkia juzi thread hii ilikuwa na page ishirini ?? cha ajabu mpaka sasa zipo page 17 ...so moderators wanapunguza pages au nini?? wajua hilo??
Je wajua kwamba manahodha wengi wa meli Tanzania hawajui kuzielezea kwa kiingereza sheria za kimataifa za uendeshaji salama baharini (International regulatios for preventing collisions at sea)?
Je wajua Mamba hana ujanja wa kuchomoa ulimi wake kama vile tufanyavyo sisi binaadam mfano tukiwa tunanaramba kitu, au mfano kama anavyofanya Paka au Mbwa wanapokuwa wanajisafisha au wanapokuwa wameachia midomo yao wazi