Tukitafuta Bikra wanasema umri mdogo, tukiwaacha wakue inakua mishangazi used inalilia ndoa inaishia kuzalishwa na kuachwa yaani kizazi cha Misingo Maza hakina Waifu matirio kabisa.
Sijui sheria siku hizi inasemaje, ila nijuavyo mpaka mwaka 2021 umri wa kuolewa ilikuwa ni miaka 14, hivyo tamzania ilikuwa inaruhusu ndoa za utotoni kwa maana hiyo.