fogoh2 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 5,896 Reaction score 6,072 Jun 17, 2020 #2,201 Elungata said: View attachment 1481023 Click to expand... duh! mimba kapewa na nani sasa
L Lumoge JF-Expert Member Joined Apr 1, 2020 Posts 605 Reaction score 772 Jun 17, 2020 #2,202 fogoh2 said: duh! mimba kapewa na nani sasa Click to expand... Swali makini sana ili ngoja tusubiri jibu. Ila mwana anajifungua mbele ya wife dah.
fogoh2 said: duh! mimba kapewa na nani sasa Click to expand... Swali makini sana ili ngoja tusubiri jibu. Ila mwana anajifungua mbele ya wife dah.
Superfly JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 1,011 Reaction score 2,138 Jun 17, 2020 #2,203 Elungata said: View attachment 1481023 Click to expand... Hv wanaochora hiz picha hua wanawaza nn??
Mine eyes JF-Expert Member Joined Apr 11, 2016 Posts 6,581 Reaction score 7,231 Jun 17, 2020 #2,215 kampa mimba mke wake..kazalisha..hajazalishwa! Ana shida..
101 East JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 1,057 Reaction score 2,244 Aug 20, 2020 #2,216 Mara nyingi ukiwa mbugani unaweza kuona Simba kalala kama hivi hata zaidi ya dk 10 lengo inakuwa ni kuzipasha joto hizo sehemu za chini huko zipate ile miale ya jua na kusaidia kuondoa wale parasite ambao wanawasumbua..
Mara nyingi ukiwa mbugani unaweza kuona Simba kalala kama hivi hata zaidi ya dk 10 lengo inakuwa ni kuzipasha joto hizo sehemu za chini huko zipate ile miale ya jua na kusaidia kuondoa wale parasite ambao wanawasumbua..
I AM NO ONE JF-Expert Member Joined Aug 7, 2020 Posts 388 Reaction score 579 Aug 20, 2020 #2,217 kwaio unashauri na sisi wanaume tufanye ivo
101 East JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 1,057 Reaction score 2,244 Aug 20, 2020 #2,218 I AM NO ONE said: kwaio unashauri na sisi wanaume tufanye ivo Click to expand... Ndiyo nasie tufanye hivyo hivyo
I AM NO ONE said: kwaio unashauri na sisi wanaume tufanye ivo Click to expand... Ndiyo nasie tufanye hivyo hivyo
I AM NO ONE JF-Expert Member Joined Aug 7, 2020 Posts 388 Reaction score 579 Aug 20, 2020 #2,219 namvumi king said: Ndiyo nasie tufanye hivyo hivyo Click to expand... hahaha mkuu hututakii mema kabisa
namvumi king said: Ndiyo nasie tufanye hivyo hivyo Click to expand... hahaha mkuu hututakii mema kabisa
101 East JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 1,057 Reaction score 2,244 Aug 20, 2020 #2,220 I AM NO ONE said: hahaha mkuu hututakii mema kabisa Click to expand... Jua linaua fangas na wadudu wengineo
I AM NO ONE said: hahaha mkuu hututakii mema kabisa Click to expand... Jua linaua fangas na wadudu wengineo