Je wajua kuwa Wayahudi wenye kumuamini Kristo hawaruhusiwi kuwa raia wa Israel?

Waarabu na wayahudi ni washenzi tu, hawana lolote.

Waafrika tungeletewa mtume mmoja tu, tungeshinda makanisani/miskitini 24/7. Maana Sie tusiokuwa na mtume ndo tunamuabudu saana Mungu kuliko walioletewa mitume (waarabu na wayahudi). Angalia wao walioletewa mitume walivowashenzi wa tabia
 
Utajisumbua sana.....
Ata kama Myahudi amtaki mkristo, siku zote Mkristo atamwombea mema, ata mbariki Mwizraeli ili naye abarikiwe. Kwani imeandikwa (ATAKAYE IBARIKI ISRAEL NA YEYE ATABARIKIWA, NA ATAKAYE ILAANI ISRAEL NA YEYE ATALAANIWA"
Sasa kazi kwani nyie mlioachiwa mafundisho ya chuki na Muhamadi wenu
Usiwe na Akili duni, hakuna watu wabaguzi duniani kama Wayahudi. Mimi mwenyewe nakuambia hivi sina chuki yoyote kwa Myahudi kwani niliowa mke Myahudi na nimekaa naye miaka 20 na nimezaa nae Watoto watatu. Yeye mwenyewe shangazi yake mmoja yuko Israel, Wa Pili Yuko Canada wa tatu yuko Amerika, na Wazee wake wako Germany.
Kwanza hata ukienda kuhamia Israel Lazima ufanya Giyur nafikiri hata giyur hujui ni nini weye mimi Naijua.
Sasa nikupe Hadithi ya kweli. Kuna Rafiki yangu mwanamke na yeye ni Muyahudi, amekwenda Israel tangu ni Mtoto na amefanya hiyo giyur (Giyur ni kusoma hizo sheria zao zote za kiyahudi na kuzifata) Anazifuata hizo sheria zao zote. Nakumbuka siku moja alikuja nyumbani kutembea. Wakija kutembea Mpaka sahani wanakuja nazo mkobani na masufuria pia ya kupikia. Katika mila Zao Sufuria ulio pikia nyama huwezi baadae kupikia Maziwa na kinyume chake hata kama utaiosha.
Sasa nikumalizie hadithi wenyewe. Miaka kama 6 Sita iliopita aliolewa. Kwa vile Baba yake ana Asili ya Kirusi, hakuruhusiwa kufanya harusi Israel. Ilibidi wende Hungary kuoana ndio wakarudi Israel. Sasa hio ndio Israel
 
Sasa ukishasema kuwa tofauti ni hivyo vitabu saba basi ndo utofauti wenyewe huo,mbona unalazimisha kutuaminisha kuwa biblia zote ni sawa wakati biblia mojawapo kati ya hizo ina vitabu saba ambavyo waprotestanti hawavikubali?. Hicho usichokikubali ndo utofauti wenyewe wa biblia hizo mbili
Kama nia ni kutafuta utofauti basi ipo biblia ya kiingereza ipo ya kiswahili,kilatini n.k
Zipo biblia zenye raman ya israel ya kale zingine hazina. Zote hizo ni tofaut pamoja na hiyo ya vitabu hiki 66 na hik 78.

MUHIMU
Unataka kujifunza nini na kimeandikwa wapi.
 
Ishu ya Tafsiri siyo ishu!. kwa maana ni maandiko hayo hayo kwa lugha tofauti.

Ila sasa kwa mfano ukiwa na vitabu vya lugha hiyohiyo moja lakini kimoja kina chapter nyingi kingine kina chapter chache, huwezi kusema kuwa hivyo vitabu ni sawa. Utofauti unathibitishwa zaidi pale kundi moja la wasoma hivyo vitabu linapokataa kuvitambua baadhi ya chapters katika kitabu kingine kuwa mafundisho yake ni halali!!
 
Rudi kwenye biblia ya vitabu 66 ambavyo ni msing wa hoja yenu iliyokuwa inamhusu ibrahim na mibaraka aliyopewa.
Tofauti zipo na hazitakosa ndio msing wa kuwepo madhehebu ktk Ukristo,Uislam nk.
 
Kwani Musa alikuwa myahudi au Muebrania??
Kwani uyahudi si ulianzishwa na Kabila ya Juda na Benjamin?? Kama sijakosea..
Upo sahihi kabisa. Musa ni Mwisrael au Mwebrania kamunavyosema lakini siyo Myahudi. Ibrahimu ni Mwebrania. Siyo Myahudi wala Mwisrael. Waisraeli ni waliotokana na uzao wa Yakobo tu. Wayahudi ni kabila mbili tu, kabila la Yuda na kabila la Benjamin.

Lakini kwa sasa, Waisraeli wote wanajiita Wayahudi ndo maana wanapigana kufa na kupona kuuimrisha Taifa lao la Kiyahudi.
 
Watu wanaompinga mleta mada nadhani wanachanganya kati ya Jews and Israelis.

Ifahamike kwamba, kwa raia wa Israel, kila Myahudi ni Mu-Israel lakini si kila mu-Israel ni Myahudi

Anyway, tunapozungumzia Jews... one side ni imani na upande mwingine ni ethnic group. Sheria nyingi za Israel under Jewish governments zina-favor Jews as faith and not as ethnic group.

Wale ambao sio Jews by faith wanakuwa more considered as Israelis and not Jews na majority ya hawa ni Waislamu na Wakristo ingawaje Waislamu ndio wengi zaidi kwa sababu taifa la Israel lilizaliwa wakati tayari kuna Waislamu kwenye ardhi ambayo ndiyo Israel ya leo!

Wale wanaounda more than 75% ni Jews by faiths... na ndio hao ambao hadi kesho wanaona Uislamu na Ukristo ni dini za kishetani na Yesu na Muhammad, wote hao ni shetani!!

Tukija kwenye hoja ya msingi ya Gamba la Nyoka... sheria inasema wazi kwamba any Jew anaweza kurudi Israel under the so called Oleh's Visa.

What is Oleh's Visa?

Suala la Oleh's Visa a Oleh linapatikana kwenye Law of Return, 5710-1950. Hii ndiyo hiyo sheria inayozungumzia Wayahudi kurudi Israel na inasema kwamba:

1. Every Jew has the right to come to this country as an oleh**.
2. (a) Aliyah shall be by oleh's visa.
(b) An oleh's visa shall be granted to every Jew who has expressed his desire to settle in Israel, unless the Minister of Immigration is satisfied that the applicant

Who's a Jew kwa mujibu wa hiyo sheria?

4B. For the purposes of this Law, "Jew" means a person who was born of a Jewish mother or has become converted to Judaism and who is not a member of another religion."

Hapo kwenye RED, ndipo penye msingi wa hoja ya mleta mada. Na kwa maana nyingine, kwa mujibu wa Law of Return, Uyahudi ni IMANI na sio JAMII!

Na katika kuonesha msisitizo, Registry Law, 5725-1965 kifungu cha 3A kinasema:

(a) A person shall not be registered as a Jew by ethnic affiliation or religion if a notification under this Law or another entry in the Registry or a public document indicates that he is not a Jew, so long as the said notification, entry or document has not been controverted to the satisfaction of the Chief Registration Officer or so long as declaratory judgment of a competent court or tribunal has not otherwise determined.

Chini ya hiyo ibara, kuna Ibara ya 3A (b) inayozungumza who's Jew:

(b) For the purposes of this Law and of any registration or document thereunder, "Jew" has the same meaning as in section 4B of the Law of Return, 5710-1950.

Hiyo Law of Return, 5710-1950 ndiyo hiyo hapo juu ambayo nimeianza with BLUE!!

Aidha, Library of Congress (US Government), wanazungumzia kesi ya mwaka 2010 ambayo ilifunguliwa dhidi ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Israel. Waliofungua kesi walikuwa wanadai kwamba wana haki ya Oleh's Visa kwa mujibu wa Return Law 5710-1950 na mabadiliko yake.

Library of Congress wana-conclude kwamba:
While all justices agreed that the petitioner in this case had willingly joined another religion, they ordered that the case be returned to the Minister of Interior for determination as to whether the petitioner qualified as an Oleh based on her return to Judaism.

Majaji waliamua kurudisha shauri kwa Waziri kwa sababu, definition ya who's Jew kwenye Return Law ilikuwa inawa-disqualify wahusika kwa sababu imani yao haikuwa ya Kiyahudi! Aidha, walishindwa ku-conclude kwamba hana Oleh right kwa sababu,
Jewish law itself, he maintained, does not have an exact religious definition of a Jew “who is not a member of another religion.”
Na kwa kuonesha hicho kifungu kilikuwa juu ya uwezo wa mahakama, Jaji akamshauri waziri kwamba, ikiwa itaonekana hana hiyo haki, basi angalau apewe Ukazi wa Kudumu kwa sababu za kibinadamu:
Justice Hanan Melcer further held that even if at the end of this process the petitioner would not be granted Israeli citizenship, it would be appropriate for the Minister to grant her a permit for permanent residence, considering her sad personal circumstances
 
Watu wanaompinga mleta mada nadhani wanachanganya kati ya Jews and Israelis.

Ifahamike kwamba, kwa raia wa Israel, kila Myahudi ni Mu-Israel lakini si kila mu-Israel ni Myahudi

Anyway, tunapozungumzia Jews... one side ni imani na upande mwingine ni ethnic group. Sheria nyingi za Israel under Jewish governments zina-favor Jews as faith and not as ethnic group.

Wale ambao sio Jews by faith wanakuwa more considered as Israelis and not Jews na majority ya hawa ni Waislamu na Wakristo ingawaje Waislamu ndio wengi zaidi kwa sababu taifa la Israel lilizaliwa wakati tayari kuna Waislamu kwenye ardhi ambayo ndiyo Israel ya leo!

Wale wanaounda more than 75% ni Jews by faiths... na ndio hao ambao hadi kesho wanaona Uislamu na Ukristo ni dini za kishetani na Yesu na Muhammad, wote hao ni shetani!!

Tukija kwenye hoja ya msingi ya Gamba la Nyoka... sheria inasema wazi kwamba any Jew anaweza kurudi Israel under the so called Oleh's Visa.

What is Oleh's Visa?

Suala la Oleh's Visa a Oleh linapatikana kwenye Law of Return, 5710-1950. Hii ndiyo hiyo sheria inayozungumzia Wayahudi kurudi Israel na inasema kwamba:

1. Every Jew has the right to come to this country as an oleh**.
2. (a) Aliyah shall be by oleh's visa.
(b) An oleh's visa shall be granted to every Jew who has expressed his desire to settle in Israel, unless the Minister of Immigration is satisfied that the applicant

Who's a Jew kwa mujibu wa hiyo sheria?

4B. For the purposes of this Law, "Jew" means a person who was born of a Jewish mother or has become converted to Judaism and who is not a member of another religion."

Hapo kwenye RED, ndipo penye msingi wa hoja ya mleta mada. Na kwa maana nyingine, kwa mujibu wa Law of Return, Uyahudi ni IMANI na sio JAMII!

Na katika kuonesha msisitizo, Registry Law, 5725-1965 kifungu cha 3A kinasema:

(a) A person shall not be registered as a Jew by ethnic affiliation or religion if a notification under this Law or another entry in the Registry or a public document indicates that he is not a Jew, so long as the said notification, entry or document has not been controverted to the satisfaction of the Chief Registration Officer or so long as declaratory judgment of a competent court or tribunal has not otherwise determined.

Chini ya hiyo ibara, kuna Ibara ya 3A (b) inayozungumza who's Jew:

(b) For the purposes of this Law and of any registration or document thereunder, "Jew" has the same meaning as in section 4B of the Law of Return, 5710-1950.

Hiyo Law of Return, 5710-1950 ndiyo hiyo hapo juu ambayo nimeianza with BLUE!!

Aidha, Library of Congress (US Government), wanazungumzia kesi ya mwaka 2010 ambayo ilifunguliwa dhidi ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Israel. Waliofungua kesi walikuwa wanadai kwamba wana haki ya Oleh's Visa kwa mujibu wa Return Law 5710-1950 na mabadiliko yake.

Library of Congress wana-conclude kwamba:

Majaji waliamua kurudisha shauri kwa Waziri kwa sababu, definition ya who's Jew kwenye Return Law ilikuwa inawa-disqualify wahusika kwa sababu imani yao haikuwa ya Kiyahudi! Aidha, walishindwa ku-conclude kwamba hana Oleh right kwa sababu, Na kwa kuonesha hicho kifungu kilikuwa juu ya uwezo wa mahakama, Jaji akamshauri waziri kwamba, ikiwa itaonekana hana hiyo haki, basi angalau apewe Ukazi wa Kudumu kwa sababu za kibinadamu:

Asante kaka, umeiweka vyema!
 
Uraia na imani ni vitu viwili tofauti. Kama umefika Israel kuna wayahudi wa Orthodox, katoliki na Anglican ambao ni raia na wengine walitokea Ujerumani, Marekani na Poland baada ya vita ya pili ya dunia. Ni raia kamili na wanapata haki kama wayahudi wengine. Ndiyo wayahudi hawaamini kwamba Yesu ni Masiah lakini hawapingi vitabu kwamba alikuwepo mtu Yesu aliyeanzisha movement ambayo baadaye ikazaa ukristu.
Vitabu vilivyookotwa karibu na Dead sea ni uthibitisho kuwa Yesu alikuwepo na Gosple ya Mary Magdalene ndo inaelezea ingawa kanisa lilikataa kuitambua.
cc: gamba la nyoka.
niah, nadhani huifahamu vizuri Israel na mnyumbuliko wake. Hao unaoita Wayahudi wa Orthodox, Anglican n.k ni Wayahudi as ethinic group lakini linapokuja suala la utambuzi, Uyahudi unaotambuliwa ni Imani! And to be more specific, hao Anglicans na wenzao including Muslims, wanatambulika kama Israelis and not Jews. In short, all Jews in Israel are Israelis but not all Israelis are Jews.

Kuhusu Yesu na Uyahudi... Wayahudi wanamweka Yesu na Muhammad kwenye kapu moja kwamba wote ni SHETANI kwahiyo hiyo movement unayosema wewe kama wanaita movement basi ni movement ya kusambaza ushetani!

Aidha, Ukristo nao wanauweka kapu moja na Uislamu kwamba zote hizo ni dini za kishetani!!!

Google kitu kinaitwa Jewish Articles of Faith for more information.
 
Sasa kwa nini Waprotestant hawataki vitabu vya "nyongeza" katika Biblia "yao"?

Halafu nikusahihishe, Wayahudi hawana vitabu 66 katika Bublia yao maana hawaamini na hawavitambui kabisaa vitabu vya agano jipya, wao wanaviita ni uzushi wa watu
Wapalestina ni waislamu A na Wayahudi ni waislamu B, Waprotestanti na wapentekoste ni Wakristo na Wakatoliki ni wanaojiita Wakristo.
 
Tafuta sheria inayohusu "Aliyah" yaani kurejea Israel kwa wanaojinasibisha na uzao wa Yakobo utaelewa, hutakiwi hata kusumbuka wewe google tu nani anaweza kufanya hiyo Aliyah utaelewa.

Inavyoonekana watu wengi wanaifuata Israel blindly bila kuijua kiundani

Pili hoja yako kuwa Myahudi sharti mama yake awe Myahudi inapingana na maandiko kwa sababu Musa alizaa na mmisri aitwaye Ziporah, Je watoto wa Musa siyo Wayahudi kwa sababu mama yao hakuwa myahudi?

Yusufu alioa mmisri na akazaa naye watoto wawili mmojawapo anaitwa Manase, Je Manase siyo jewish kwa sababu mama yake hakuwa myahudi?
Nenda kaulize wayahudi wote walipo duniani kwamba ili uitwe myahudi sharti kubwa ni lipi? Naongea kwa kuwa na vielelezo thabiti. Sharti mama awe myahudi. Baba kwa wayahudi hausu ndo maana wanamwita Issa bin Mariam kwa waislam kwanini hamwiti bin Yusuf? Maria alikuwa ukoo wa Daudi na ndo alienda kutambulishwa kwanini hakwenda nazaleti ukoo wa yusuf? Please jaribu kufanya tafiti bila mihemko.
 
niah, nadhani huifahamu vizuri Israel na mnyumbuliko wake. Hao unaoita Wayahudi wa Orthodox, Anglican n.k ni Wayahudi as ethinic group lakini linapokuja suala la utambuzi, Uyahudi unaotambuliwa ni Imani! And to be more specific, hao Anglicans na wenzao including Muslims, wanatambulika kama Israelis and not Jews. In short, all Jews in Israel are Israelis but not all Israelis are Jews.

Kuhusu Yesu na Uyahudi... Wayahudi wanamweka Yesu na Muhammad kwenye kapu moja kwamba wote ni SHETANI kwahiyo hiyo movement unayosema wewe kama wanaita movement basi ni movement ya kusambaza ushetani!

Aidha, Ukristo nao wanauweka kapu moja na Uislamu kwamba zote hizo ni dini za kishetani!!!

Google kitu kinaitwa Jewish Articles of Faith for more information.
Mimi naelewa hilo ndo maana nilianza kwa kusema kutofautisha imani na uraia.
Siwezi kusema mengi kwenye JF sababu ni public ila mimi nina ndugu wenye vinasaba huko hivyo naongea nikiwa naelewa ninachokisema. Uraia na dini ni vitu tofauti. Huwezi nyimwa uraia eti sababu wewe siyo Jew. Wapo hata waislam ni wana wa Israel hivyo asidanganye kusema mpaka uwe Jew ndo uwe raia. Kama amekwenda Bethlehem amejionea jinsi watu wa dini tofauti wanavyoishi na wanauraia wa nchi tofauti. Aende Jerusalem aone watu waliotoka mataifa mbali mbali na dini tofauti wanaishi. Aelewe kuwa huwezi kuwa myahudi mpaka mama yako awe myahudi basi. Myahudi yeyote wa kiume lazima awe ametahiliwa hata kama alizaliwa wapi.
 
Mada inahusu "Aliyah", yaani "haki ya kurudi Israel kwa wayahudi wenye uraia wa mataifa mengine", haihusu kama umezaliwa humohumo Israel.

By the way, Bethlehem ni mji ulio chini ya Mamlaka ya Palestina siyo Israel

By the way bado unachanganya Uyahudi by ethnicity na Uyahudi wa kidini.

Uyahudi wa kidini unaweza kuupata by Conversion ( ila procedure zake ni ndefu lakini inawezekana), mfano mzuri wa Judaism converts ni jamii iliyoko uganda inayojulikana kama "abayudaya", hawa wametambuliwa na mamlaka za kirabbi kuwa ni wayahudi, hawa wakiconvert katika karne ya 20

Kuna Wayahudi kwa maana ya wale watu wanaojinasibisha na Kizazi cha Yakobo , hawa hata kama ni maatheist lakini hutambulika kama ni Wayahudi.

Sasa hoja ni nani ana haki ya "Kurejea Israel?", Ni myahudi anayefuata dini ya kiyahudi au asiwe na dini yoyote, Ukiwa na dini yoyote ile isiyo ya kiyahudi hata kama wewe umetokana na Uzao wa Yuda mwana wa Yakobo huna haki ya kurejea kwa mujibu wa sheria ya Aliyah.

Tofautisha na kuzaliwa humohumo ndani ya Osrael au kuikana dini ya Kiyahudi ukiwa tayari umeshaukwaa uraia wa Israel
 
Mimi naelewa hilo ndo maana nilianza kwa kusema kutofautisha imani na uraia.
Siwezi kusema mengi kwenye JF sababu ni public ila mimi nina ndugu wenye vinasaba huko hivyo naongea nikiwa naelewa ninachokisema. Uraia na dini ni vitu tofauti. Huwezi nyimwa uraia eti sababu wewe siyo Jew. Wapo hata waislam ni wana wa Israel hivyo asidanganye kusema mpaka uwe Jew ndo uwe raia. Kama amekwenda Bethlehem amejionea jinsi watu wa dini tofauti wanavyoishi na wanauraia wa nchi tofauti. Aende Jerusalem aone watu waliotoka mataifa mbali mbali na dini tofauti wanaishi. Aelewe kuwa huwezi kuwa myahudi mpaka mama yako awe myahudi basi. Myahudi yeyote wa kiume lazima awe ametahiliwa hata kama alizaliwa wapi.
Hebu twende taratibu! Thread umeisoma au umeishia kusoma heading peke take?!

I'm afraid kwamba, ama umesoma title peke yake na kama thread umeisoma basi hujaielewa!

Na kwenye #50 nimeweka hadi vifungu vya sheria vinavyokazia hiyo mada na pia nimeweka moja ya kesi ya Mu-Israel ambae alijaribu kutetea haki yake lakini akashindwa!

In short, baada ya kuundwa taifa la Israel, serikali ikatunga sheria ya kuwapa haki ya kurudi na kuwa raia wa Israel WAYAHUDI wote waliokuwa uhamishoni.

Wayahudi hawa ni Wayahudi by FAITH and not by ethnicity. Which means, hata kama Myahudi husika angekuwa ni Yesu Kristo, haki hiyo asingekuwa nayo kwa sababu Jesus ni Myahudi kwa maana ndo jamii yake lakini sio Myahudi kwa imani. Ikiwa na maana pia, endapo Jesus angerudi Israel, asingepewa uraia moja kwa moja kama ambavyo angepewa Moses!

Aidha, usisahau kwamba majority ya Wakristo na Waislamu wa Israel ni wenyeji. Ni wenyeji kwa maana kwamba, mizizi yao ipo pale kabla ya kuundwa kwa taifa la Israel 1948.

Na ni kutokana na ukweli huo ndio maana Wakristo Israel ni wachache sana na idadi yao haifiki hata robo ya Waislamu raia wa Israel. Ni wachache kwa sababu, kabla ya kuundwa taifa la Israel, hapo walikuwa wanaishi Waarabu ambao majority ni Waislamu. Na ndio maana hata hao Wakristo waliopo, majority ni Waarabu.

Waislamu na Wakristo hawa ambao kwa ujumla wao majority ni Waarabu. ni wale ambao baada ya kuundwa taifa la Israel, walichagua kubaki Israel baada ya kwenda Palestine na na wakachukua uraia wa Israel.

Lakini ingawaje hawa walibaki, majority (Waislamu na Wakristo ambao ni Waarabu) waliamua kwenda kuondoka na kwenda Palestine na ndio maana Palestina kuna Wakristo wengi kuliko Wakristo waliopo Israel.

Na kwa nyongeza tu kwamba, umeitaja Bethlehem. In short, Bethlehem haipo Israel bali ipo kwenye mamlaka ya Palestina kama ilivyo kwa Hebron na Jericho. Nimeiongeza hiyo miji miwili kwa sababu ni moja ya miji ya kale sana na imetajwa sana kwenye Bible.
 
Taifa la israel lilikuwepo zaidi ya miaka 6000 iliyopita, kiongozi wa kwanza akiwa ni nabii Mussa, hicho ni kipindi cha miaka zaidi ya 3430 kabla ya kuzaliwa mhasisi wa uislam yaani Muhammad au kabla ya kuanzishwa kwa uislam miaka yapata 3290.
Quran inakiri kuwepo kwa mfalme Suleiman aliyekuwa mwisrael pamoja na baba yake yaani Daud.
Tafakari
 
Mimi naelewa hilo ndo maana nilianza kwa kusema kutofautisha imani na uraia.
Siwezi kusema mengi kwenye JF sababu ni public ila mimi nina ndugu wenye vinasaba huko hivyo naongea nikiwa naelewa ninachokisema. Uraia na dini ni vitu tofauti. Huwezi nyimwa uraia eti sababu wewe siyo Jew. Wapo hata waislam ni wana wa Israel hivyo asidanganye kusema mpaka uwe Jew ndo uwe raia. Kama amekwenda Bethlehem amejionea jinsi watu wa dini tofauti wanavyoishi na wanauraia wa nchi tofauti. Aende Jerusalem aone watu waliotoka mataifa mbali mbali na dini tofauti wanaishi. Aelewe kuwa huwezi kuwa myahudi mpaka mama yako awe myahudi basi. Myahudi yeyote wa kiume lazima awe ametahiliwa hata kama alizaliwa wapi.
Israel ni nchi kama ulivyo Tanzania, Saudia Arabia, USA nk ndani yake wapo wakristo na wasiokuwa, wapo waarabu na wasiokuwa, wapo waafrika na wasiokuwa
 
Back
Top Bottom