Naota naota nadanganywa na watemi wasio na mpangoTaarifa zinazozidi kutamba katika vyombo vya habari mbali mbali nchini na vya kimataifa kuhusu kifo cha osama bin laden kilichokea usiku wa kuamkia jumatatu ya tar 2 katika jiji tulivu la Abbotabad nchi Pakistan katika operation maalum ya makomandoo wa kimarekani ....kutokana na tafakari za watu mbali mbali,wanaharakati wa chama cha upinzani cha marekani republican..wanazuoni wamaswala ya kisiasa.kijamii na kiitelegensia..inaonesha kuna uwezekano mkubwa kwamba Gaidi namba moja duniani Osama Bin Laden huenda akawa Hai chini ya ulizi mkali ya vikosi vya usalama vya marekani...
Sababu zifatazo ndipo zilizopelekea hitimisho la kuwapo hai kwa osama....kwanza ni kutoka kwa mashahidi waliokuwapo katika kasri ile siku ya tukio...mtoto wa osama alikaririwa akisema baba ake (alikamatwa akiwa hai) na baada ya apo wakampiga risasi na kufa...kunauwezekano makomandoo hao wakawa wamefaki kitendo cha kumpiga risasi ili mtoto huyo adanganyike na kushuhudia kifo cha baba ake kwa waandishi
Pili...kitendo cha kumzika kwa haraka tena baharini ni jambo linalotiliwa sana shaka..kitendo hiki kimefanyika ili kuwafunga mdomo wanaharakati watakaotaka kuuona mwili wa Osama ukiwa kaburini...pamoja na wao wamerekani wakidai wamemzika baharini ili kaburi lake lisitumike kama eneo la kuabudia kwa wafuasi wake
Tatu...kitendo cha ikulu ya marekani kusita kutoa picha za tukiolilo husika katika kumkamata kwa osama,,,,picha izi zimekuwa gumzo na siri kubwa katika serikali ya marekan...kuna uwezekano mkubwa kwamba picha izo zikawa zinaonesha kuwa osama amekamatwa hai na hakuuwawa kaka ripoti za ikulu zilivo tamka apo awali..ivyo kitendo cha kuzitoa picha izo zingepingana kwa kiasi kikubwa na taarifa za awali za serikali ya martekani.
Na jambo la mwisho......kukamatwa kwa osama akiwa hai kulikuwa na advantage kubwa kuliko kikutwa akiwa amekufa kwani wangemtumia kupata taarifa nyingi za mashambulio ambayo yangeweza kutokea katika mipango ya al qaeda....
Hivyo basi kunauwezekano mkubwa sana osama akawa hai ila katika ulinzi mkail ya vikosi wa kimarekani akihojiwa ili kupata taarifa mbali mbali juu ya matukio ya kigaidi yaliyopangwa kutokea...
Je ni kwann wamerekani wanataka kuujulisha ulimwengu kuwa Osama kafariki........
Jawabu ni hili....endapo ingetambulika kuwa osama amekamatwa mateka na wamerekani....bac wafuasi wake ambao ni zaidi ya maelfu duniani kote wangeweza kuwateka watu mashuuri wamarekani na kuahidi kuwazika wakiwa hai au wamwachie Osama....hivyo izo ndo sababu zinazofanya waamerika wazuge kama adui yao amekufa ili watu waipotezee na habari yake iishie hapo...nini maoni yako....!!!!!!
Ulikuwa unatumia ID gani ili mods waifute ya mwanzoni kuokoa memory space kwenye server? Sasa kama wewe ni mkongwe humu, sikutegemea uanzishe thread zinazofanana na ambazo zilishaanzishwa wiki yote iliyopita. Watu wanakaa kubishana uhai na uzima wa Osama wakati mtu alishaswaliwa na pilau ilishaliwa huko Pakistani. Al-Qaeda na Taleban wamekiri kuuawa. Mtoto wa marehemu amekiri kumuona baba yake akipigwa risasi kichwani na kifuani; bado kuna watu wanasema ni risasi feki. Sawa, zinaweza kuwa feki; sasa sisi humu tutajadili haya hadi lini? Kwa nini tusichangie hot news nyingine zinazojiri ndani na nje? Tubadili upepo jamani, ya Osama si hot tena. Heri ungeweka ya huyo mrithi wake aliyekoswakoswa kulipuliwa juzi!Ndugu jabulani usiishi kwa mazoea......sio mgeni jf nipo tangu enzi za ujana wako....nimebadili tu account kwa sababu za kiusalama.
Mkuu wa chuo ni cheo kikubwa zaidi ya akili uliyonayo.....sikutegemea uwe unafikiria puani...ukiwa kama msomi lazma ujua matukio ya kidunia yanavyo endelea...usikae tu ukabweteka usijue dunia inavo kwenda..wasomi hatupo ivo
Bila shaka unamuongelea Osama yule muendesha pikipiki ya miguu matatu pale soko la ndizi Mabibo
Hiyo sababu ya pili ndio inaumiza zaidi kichwa na haiingii akilini..Taarifa zinazozidi kutamba katika vyombo vya habari mbali mbali nchini na vya kimataifa kuhusu kifo cha osama bin laden kilichokea usiku wa kuamkia jumatatu ya tar 2 katika jiji tulivu la Abbotabad nchi Pakistan katika operation maalum ya makomandoo wa kimarekani ....kutokana na tafakari za watu mbali mbali,wanaharakati wa chama cha upinzani cha marekani republican..wanazuoni wamaswala ya kisiasa.kijamii na kiitelegensia..inaonesha kuna uwezekano mkubwa kwamba Gaidi namba moja duniani Osama Bin Laden huenda akawa Hai chini ya ulizi mkali ya vikosi vya usalama vya marekani...
Sababu zifatazo ndipo zilizopelekea hitimisho la kuwapo hai kwa osama....kwanza ni kutoka kwa mashahidi waliokuwapo katika kasri ile siku ya tukio...mtoto wa osama alikaririwa akisema baba ake (alikamatwa akiwa hai) na baada ya apo wakampiga risasi na kufa...kunauwezekano makomandoo hao wakawa wamefaki kitendo cha kumpiga risasi ili mtoto huyo adanganyike na kushuhudia kifo cha baba ake kwa waandishi
Pili...kitendo cha kumzika kwa haraka tena baharini ni jambo linalotiliwa sana shaka..kitendo hiki kimefanyika ili kuwafunga mdomo wanaharakati watakaotaka kuuona mwili wa Osama ukiwa kaburini...pamoja na wao wamerekani wakidai wamemzika baharini ili kaburi lake lisitumike kama eneo la kuabudia kwa wafuasi wake
Tatu...kitendo cha ikulu ya marekani kusita kutoa picha za tukiolilo husika katika kumkamata kwa osama,,,,picha izi zimekuwa gumzo na siri kubwa katika serikali ya marekan...kuna uwezekano mkubwa kwamba picha izo zikawa zinaonesha kuwa osama amekamatwa hai na hakuuwawa kaka ripoti za ikulu zilivo tamka apo awali..ivyo kitendo cha kuzitoa picha izo zingepingana kwa kiasi kikubwa na taarifa za awali za serikali ya martekani.
Na jambo la mwisho......kukamatwa kwa osama akiwa hai kulikuwa na advantage kubwa kuliko kikutwa akiwa amekufa kwani wangemtumia kupata taarifa nyingi za mashambulio ambayo yangeweza kutokea katika mipango ya al qaeda....
Hivyo basi kunauwezekano mkubwa sana osama akawa hai ila katika ulinzi mkail ya vikosi wa kimarekani akihojiwa ili kupata taarifa mbali mbali juu ya matukio ya kigaidi yaliyopangwa kutokea...
Je ni kwann wamerekani wanataka kuujulisha ulimwengu kuwa Osama kafariki........
Jawabu ni hili....endapo ingetambulika kuwa osama amekamatwa mateka na wamerekani....bac wafuasi wake ambao ni zaidi ya maelfu duniani kote wangeweza kuwateka watu mashuuri wamarekani na kuahidi kuwazika wakiwa hai au wamwachie Osama....hivyo izo ndo sababu zinazofanya waamerika wazuge kama adui yao amekufa ili watu waipotezee na habari yake iishie hapo...nini maoni yako....!!!!!!
Ahahahaah!!Bila shaka unamuongelea Osama yule muendesha pikipiki ya miguu matatu pale soko la ndizi Mabibo
Taarifa zinazozidi kutamba katika vyombo vya habari mbali mbali nchini na vya kimataifa kuhusu kifo cha osama bin laden kilichokea usiku wa kuamkia jumatatu ya tar 2 katika jiji tulivu la Abbotabad nchi Pakistan katika operation maalum ya makomandoo wa kimarekani ....kutokana na tafakari za watu mbali mbali,wanaharakati wa chama cha upinzani cha marekani republican..wanazuoni wamaswala ya kisiasa.kijamii na kiitelegensia..inaonesha kuna uwezekano mkubwa kwamba Gaidi namba moja duniani Osama Bin Laden huenda akawa Hai chini ya ulizi mkali ya vikosi vya usalama vya marekani...