Mwe utafiti umetaja mambo makuu
1. Kauli - eti mwanamke ukiwa mnamkashfu mumeo live kuwa hawezi tendo la ndoa - unaua nguvu zake
2. Ujuzi - Mwanamke ukipunguza ujuzi wa kumsaidia mwenzio kuwika (sasa hapa sijui ni kusababisha au kusaidia kuregain)
3. Usafi - Uchafu wa wmanamke hupelekea nguvu kufa !!
4. Gubu -
5.Usaliti - mume akijua mkewe anamsaliti basi ni rahisi kujikuta nguvu zake zaisha.
Mh sina uhakika na namba 1,2,3 na 4 kwa sababu wengi huwa wanaresort kwa kutafuta nyumba ndogo sasa ina maana hata huko kwenye nyumba ndogo, nguvu huwa hafifu!!