Ndio, watumwa. Na wala si hao wacheazaji mpira wa ulaya tuu, hata sisi hapa, tupo watumishi wa serikali, watumishi wa ndani, watumishi wa mungu, watumishi wa... utajaza mwenyewe.
Kutuma au kutumwa si dhambi bali kudhalilisha mtumishi ndio dhambi, kiduniya na kidini.
Kwa nini tunaongelea tu Wachezaji mpira? Hawa wanadhambi gani???
Madaktaji je, Mainginia je? Manesi je, Wanafunzi je? Waalimu Vyuo Vikuu je?? N.k
And may be hata mimi na wewe.. wengi tumeweza hata kuchangia hapa JF kwa kuwa tuko ungenini? Kwa nini nasi tusirudi nyumbani kuimarisha uchumi unaokuwa kama ilivyo ktk soka?
There you are.
ukute aliyeanzisha mada hii naye yuko huko huko "Utumwani" ama kama wao wanavyokuita "Ukimbizini" Mie nilisharudi, naendeleza Afrika tu.
Kuna madai kuwa Wachezaji hao wakiwa Afrika hucheza chini ya viwango vyao vya Ulaya. Hii ni kauli tosha kusema kuwa Wachezaji hao hawaongezi chochote katika upandaji wa Kiwango cha soka Afrika3. Kiwango cha mpira Afrika kinakua.
Former Nigeria striker Daniel Amokachi says some European-based African players do not match their club form whilst playing for their countries.