GE2025 Je, Vigezo vya Kujua Kusoma na Kuandika Vinatosha Kuamua Ustahiki wa Mbunge?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
519
Reaction score
1,463
Tupo katika wakati mgumu ambapo nafasi za ubunge zinageuka kuwa njia ya kupima bahati badala ya ujuzi na uwezo wa kiuongozi. Vigezo vya msingi kama “kujua kusoma na kuandika” haviwezi kuwa kipimo sahihi cha mtu anayepewa dhamana ya kutunga sheria, kusimamia rasilimali za taifa, na kuwakilisha wananchi kimataifa.

Leo hii, tunashuhudia watu wasiokuwa na weledi, maadili wala maono wakichukua fomu za kugombea wengine wakiwa ni wahuni wa mitandaoni, madalali wa siasa, au watu waliofungiwa kwenye sekta nyingine wakikimbilia ulingo wa siasa kama njia ya mwisho ya kusafisha majina yao. Hawa si viongozi, hawa ni political liabilities kwa taifa letu.

Kuwapitisha watu hawa ni kuitia doa heshima ya Bunge. Wataharibu hadhi ya taifa, watawakilisha ujinga na mihemko badala ya hoja na busara. Tukikubali mwelekeo huu, tutazidi kuzaa bunge lililojaa kelele, vijembe na migogoro badala ya mijadala ya kitaifa yenye tija.

Ushauri kwa Taifa:
Ni wakati wa kurekebisha vigezo vya ustahiki wa ubunge. Tunahitaji mchakato unaopima zaidi ya uwezo wa kusoma—tuangalie uwezo wa kufikiri kimkakati, maadili, historia ya uwajibikaji, na mchango kwa jamii. Taifa haliwezi kukombolewa kwa kukumbatia watu waliokosa misingi ya uongozi bora.

Heshima ya Bunge ni heshima ya wananchi. Tuikatae hadithi ya kwamba kila mtu anaweza kuongoza, leadership is not default, it is earned.
 
Wale wabunge wasomi, especially wenye elimu ya level ya PhD wameisaidia nini Tanzania? Wamedharaulisha sana usomi.
 
Waacheni wananchi waamue nani anawafaa kuwa mwakilishi wao. Nyie na huo usomi wenu mbona hatuoni impact yoyote kwenye maeneo mliyokabidhiwa kulitumikia taifa?
 
Form ya ubunge ni biashara kwa ibirisi wa ccm sasa wanauza form kama karanga kisha mchujo uje Rushwa kwa Wajumbe kura za maoni, hapo kuna vitendo vya kishirikina Rushwa nyingi ikiwemo kujuana pia ndipo kutapatikana Bunge Dhaifu kwani hata wanaijiita wasomi huko ccm huwa ni wajinga balaa ukiwa msomi ukaingia ccm usomi wako wote unayeyuka na kubakia Darasa la pili
 
watu walio soma sana ni waoga wa kufanya maamuz. .. kwa mawazo yangu katiba ingeweka kiwango cha elimu cha mgombea kianzie angalau kidato cha nne
Ukiwa msomi ukijiunga na ccm tu hapo hapo kichwani kunakuwa kutupu Elimu Taaluma yote inafutika unakuwa zuzu juha mjinga mjinga wanaojiita wasomi ccm ndiyo wanaongoza kwa kuandaa kuandika mikataba mibovu inayoigharimu Nchi
 
Hata usome vipi ukawa na phD nyingi ukijiunga na ibirisi wa ccm tu ulichokuwa umesomea chote kinafutika unakuwa na Akili fupi kama za msukuma na kibajaji na Abasi Tarimba
 
Waacheni wananchi waamue nani anawafaa kuwa mwakilishi wao. Nyie na huo usomi wenu mbona hatuoni impact yoyote kwenye maeneo mliyokabidhiwa kulitumikia taifa?
Wanaojiita wasomi huko ccm ni vilaza na wengi ni wezi mafisadi, usomi wa ccm ni kuwa chawaccm na mambo haramu ya kishetani
 
Soma fanya kazi zingine lakini soma kajiunge na ccm balaa la kufutika kwa Taaluma kichwani lazima likukute
 
Tupo katika wakati mgumu ambapo nafasi za ubunge zinageuka kuwa njia ya kupima bahati badala ya ujuzi na uwezo wa kiuongozi. Vigezo vya msingi kama “kujua kusoma na kuandika” haviwezi kuwa kipimo sahihi cha mtu anayepewa dhamana ya kutunga sheria, kusimamia rasilimali za taifa, na kuwakilisha wananchi kimataifa.

Leo hii, tunashuhudia watu wasiokuwa na weledi, maadili wala maono wakichukua fomu za kugombea wengine wakiwa ni wahuni wa mitandaoni, madalali wa siasa, au watu waliofungiwa kwenye sekta nyingine wakikimbilia ulingo wa siasa kama njia ya mwisho ya kusafisha majina yao. Hawa si viongozi, hawa ni political liabilities kwa taifa letu.

Kuwapitisha watu hawa ni kuitia doa heshima ya Bunge. Wataharibu hadhi ya taifa, watawakilisha ujinga na mihemko badala ya hoja na busara. Tukikubali mwelekeo huu, tutazidi kuzaa bunge lililojaa kelele, vijembe na migogoro badala ya mijadala ya kitaifa yenye tija.

Ushauri kwa Taifa:
Ni wakati wa kurekebisha vigezo vya ustahiki wa ubunge. Tunahitaji mchakato unaopima zaidi ya uwezo wa kusoma—tuangalie uwezo wa kufikiri kimkakati, maadili, historia ya uwajibikaji, na mchango kwa jamii. Taifa haliwezi kukombolewa kwa kukumbatia watu waliokosa misingi ya uongozi bora.

Heshima ya Bunge ni heshima ya wananchi. Tuikatae hadithi ya kwamba kila mtu anaweza kuongoza, leadership is not default, it is earned.
Nenda kagombee uuone mchakato ndo utaheshimu hata asiyejua kusoma
 
Katika mfumo wa demokrasia, vigezo vya elimu rasmi vinatakiwa viwe vidogo kabisa, kama hicho cha kujua kusoma na kuandika.

Sababu ni kwamba, kila unavyozidi kuongeza viunzi vya elimu rasmi kama sifa za kustahili kupigiwa kura, ndivyo unavyoipunguza haki ya watu kumchagua mtu wanayemtaka.

Suppose mnaweka kigezo cha degree kwenye ubunge, halafu watu wa kijijini matatizo yao wana mtu wao ambaye wanamtaka, wanamuamini, wanajua anayajua matatizo yao, huyo ndiye chaguo lao. Lakini hana degree, hapo utakuwa umewanyima watu hao demokrasia ya kumchagua mtu wanayemtaka wao.

Katika nchi ambayo miongoni mwa watu wake wenye sifa za kupiga na kupigiwa kura, ni chini ya 10% tu wana degree, ukiweka kiwango cha degree kama sifa ya kupigiwa kura, kimsingi hapo umewakata watu 90% wasipate haki ya kikatiba ya kugombea uongozi.

Sasa demokrasia inayowachuja 90% ya watu kabla uchaguzi haujaanza ni demokrasia gani hiyo?

Kwa kutambua hili jambo, nchi ambazo zimefanya demokrasia kwa muda mrefu kulinganisha na sisi, mfano nchi kama Uingereza na Marekani, hazina kiwango cha elimu kwa wawakilishi. In fa t Matekani wana historia ndefu yenye controversy kubwa kuhusu kuwapa watu mitigani kabla ya kupiga kura, jambo ambalo lilionekana kugubikwa na tuhuma za ubaguzi wa rangi.

Watu kama rais Harry Truman, Mawaziri Wakuu kama Winston Churchill na John Major wa UK hawakuwa na degree, lakini waliongoza nchi vizuri yu.

Mtu kama rais wa Brazil wa leo, Luis Ignacio Lula da Silva, hana degree, lakini amefanya kazi kubwa sana kwenye vyama vya wafanyakazi kiasi wa Brazil wamempigia kura awe rais wao mara tatu, na amefanya vizuri.

More than someone having a degree, I think the reason why one or doesn't have a degree is equally interesting. Kuna watu hawajasoma si kwa sababu hawana akiki, ila kwa sababu hawakuwa na nafasi tu.

Kuna arrogance fulabi ya kisomi inayotaka kutuambia kuwa usomi wa darasani ndio utatupa ufanisi katika uongozi. Katika nchi yetu tumeona wasomi wengi wakifanya mambo ya kijinga. Andrew Chenge amesoma mpaka Harvard lakini katupiga pesa bila maadili, kisha alivyofumwa katuambia hivi ni vijisenti tu. Prof. Tibaijuka alituambia hizi ni hela za mboga tu. Pius Msekwa, a constitutional lawyer, alivyohojiwa na kubanwa alisema watu waache wivu wa kike. Mkapa kasoma mpaka Columbia, kaja kuuza mashirika ya umma kijinga na kula pesa za EPA mpaka katubu kwenye kitabu chake.

Hao ndio wasomi tunaotaka wawe na monopoly ya kuongiza nchi bila common sense ya wasio wasomi?

Ukichunguza sana kwetu utaona hata hao wanaoitwa wasomi usomi wao hauwasaidii, sanasana unawajengea arrogance na kuwafanya wajinga tu.

Now don't get me wrong, Ia m not anti intellectual by any chance. I respect intellectuallism. But I want to stress the importance of democracy, as well as stress that what we need to do is educate a large part of the population, by doing so, parliamentary entrance standards automatically will go up. Raising this artificially will be very undemocratic and will potentially rob us of unconventionally educated people like Lula da Silva.

We like shortcuts. This business of raising MPs education is a shortcut. Because if the masses are not educated, raising MPs education is worthless. MPs need to know they are accountable to an educated and questioning populace. If you do not have that populace and you have a parliament full of PhDs, the PhDs will find a way to manipulate the masses and live like princes theough theft and corruption.

Our current government for example, has no shortage of people with degrees up yo PhDs. But it is failing woefully.

Why?

It is not because of lack of formal education. It is because of lack of accountability.
 
Uwakilishi kisiasa kwa nchi ya Tanzania unaanzia level ya mtaa. Hawa ambao hawajui kusoma na kuandika na wanajua shida za wananchi wao wanaweza kugombea level ya mtaa au ya kata na wakawawakilisha wanaowataka.

level ya taifa ambayo utapitisha sheria, utawekwa kamati ya mazungumzo na nchi zingine hii ni level ambayo ni fair ikiangaliwa upya.

Kusema kila mtu anaweza kugombea ila ukaweka vigezo kukata wasio na sifa siyo dhambi. Ni ombudsman, loophole inayotumika katika nyanja tofauti kukataza unachoclaim kinawezekana.
 
Back
Top Bottom