Iwe kibubu, kibati, saccos, vicoba zote zina changamoto zake.
Uzuri wa kibati haina riba
Kuhusu kupokea lini ni malengo mnajipanga, ukiona inaangukia tarehe isiyo unaachana nayo.
Masharti yake ni nafuu. Haihitaji barua ya mwenyekiti au mdhamini.
Ila hakuna kizuri kisicho na kasoro na changamoto hazikosekani.
Haina bima au dhamana.