Bado kijana, kuitwa kwenye usaili itakuwa January or february 2016Naomba msaada kwa anae jua kuhusu nafasi za kazi za corporal na constable zilizotoka november 2015 ,Kama wameshaitwa kwenye usaili. na kama bado, lini wanaweza kuita?
Bado hatujaanza hata kuchambua barua zenu,maana zililetwa na fuso 7.
Watawaita wewe na nani? Na umejuaje kama wewe utaitwa? Au ulishikwa mkono?Nasikia Mwezi huu watatuita kwani uwa wanakaa baada ya mwezi mmoja Na wiki Mbili tokea deadline ya kutuma. Tuwe Na subira
Watawaita wewe na nani? Na umejuaje kama wewe utaitwa? Au ulishikwa mkono?
Watawaita wewe na nani? Na umejuaje kama wewe utaitwa? Au ulishikwa mkono?