Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Kwanza mimi sio mwanasiasa ila na declare UKAWA ni my Interest
ila hadi sasa UKAWA haipo kichwani kwangu ki ufupi upinzani nimeshautoa kichwani kwangu sababu;
1: SIJUI WANASIMAMIA AU WANAONGOZWA NA DIRA GANI
2: WAHO KILA KITU NI KUPINGA mfano ishu ya madawa ya kulevya na mnukuu:Tundu eti anamwambia makonda asiwataje vidagaa awataje mapapa je yeye Lissu mbona ajawataja hata uduvi.
3: ACT Wazalendo nao wanapinga eti wanataka wakamatwe kwa ustaarabu
4: BAVICHA duu hao nao.
Ushauri wapinzani mnabidi mjitafakari mujue Watanzania wanataka nini maana nyie kila hoja mnadandia tu pia muwadhibiti BAVICHA kwenye mitandao wanafanya mambo ya kitoto sana.