Je, upinzani ni jipu?

kipusi

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
443
75
Kutokana na maeneo mengi yalioshinda upinzani kuonekana ilani ya chama tawala kukumbana na changamoto ya utekelezaji !,je upinzani ni jipu linalooitaji kutumbuliwa???.au wako sahihi kusimamia maslahi ya wananchi?
 
NDUGU YANGU MBONA UNAULIZA JIBU! HAO WAPINZANI HAWANA ILANI WALA SERA. WATALAZIMIKA KUTEKELEZA SERA NA ILANI YA CHAMA TAWALA CHENYE UZOEFU WA KUTOSHA KUONGOZA NCHI HII!!
 
Acha udaku ww kuna chama cha siasa kisiwe na sera?
 
Kutokana na maeneo mengi yalioshinda upinzani kuonekana ilani ya chama tawala kukumbana na changamoto ya utekelezaji !,je upinzani ni jipu linalooitaji kutumbuliwa???.au wako sahihi kusimamia maslahi ya wananchi?

Hilo jibu labda uulizwe swali tena, Ni jipu uchungu sema limekaa sehemu mbaya ambapo utumbuaji wake unaweza athiri mifumo ya fahamu. Ila wataalamu wa kutumbua wamelianzia na antibiotic ili liive vizuri na lisiwe na madhara.
 
Back
Top Bottom