Szczepan Guevara Jr
Member
- May 28, 2013
- 91
- 17
Manzese Kitambo! Deborah Mwenda na Kipindi Chake cha Mama na Mwanaa! Chezea Ua Jekundu wewe!Je waikumbuka RTD? Deborah mwenda, Sarah
Dumba, Julius Nyaisanga, Charles Hillary, Eshe
Muhidin, Florian Kaiza, Tumbo Risas, David Wakat,
Halima Kihemba, Bety Mkwasa, January Constatine,
Lando Mabula, Ben Kiko, Abubakar Lyongo, Sued
Mwiny, Abisai Steven, Nswima Ernest, Malima Ndelema, Richard Leo, Mohamed kisengo, Ahmed
Jongo, Christna Chokunogela, Shaban Kisu, Jakob
Tesha, Salim Mbonde, Sekion Kitojo, Dominic
Chilambo, Ahmed Kipoz, Fatma Kipoz, Ezekiel
Marongo, Abdul Ngalawa, Omar Jongo. Je ulikuwa
wapi na ulikuwa unafanya nin? Hasa yupi kati yao alikukosha sana?
Jacob tesha: Wao bila (simba sc) sisi 2 (dar young african)
Debora Mwenda hasa jmosi saa 8 na kipindi cha mama na mwana hasa ile hadith ya AKAJASEMWAMBA zamani sana 1983Je waikumbuka RTD? Deborah mwenda, Sarah
Dumba, Julius Nyaisanga, Charles Hillary, Eshe
Muhidin, Florian Kaiza, Tumbo Risas, David Wakat,
Halima Kihemba, Bety Mkwasa, January Constatine,
Lando Mabula, Ben Kiko, Abubakar Lyongo, Sued
Mwiny, Abisai Steven, Nswima Ernest, Malima Ndelema, Richard Leo, Mohamed kisengo, Ahmed
Jongo, Christna Chokunogela, Shaban Kisu, Jakob
Tesha, Salim Mbonde, Sekion Kitojo, Dominic
Chilambo, Ahmed Kipoz, Fatma Kipoz, Ezekiel
Marongo, Abdul Ngalawa, Omar Jongo. Je ulikuwa
wapi na ulikuwa unafanya nin? Hasa yupi kati yao alikukosha sana?
Vp mkuu kuhusu ADILI NA NDUGUZE au BINT CHURA, kipind hicho ilikuwa raha sana kusikiliza radio siyo sasa radio zimejaa ujinga tuManzese Kitambo! Deborah Mwenda na Kipindi Chake cha Mama na Mwanaa! Chezea Ua Jekundu wewe!
Vp mkuu kuhusu ADILI NA NDUGUZE au BINT CHURA, kipind hicho ilikuwa raha sana kusikiliza radio siyo sasa radio zimejaa ujinga tu
Mimi nauliza hivi Uncle J Nyaisanga yuko wapi? Mwenyekujua tafadhali nijuze
1.Abdallah Idrisa Majura aka mzee wa kipusa ndani ya chemsha bongo na radio one stereo.
2. Rose Chitara aka rc computer ndani ya kipindi cha chaguo la msikilizaji radio one sterio hasa wakati akitamka namba za simu kwa tarakim moja moja (2700588) alinikosha sana.
3. Masoud Kipanya na Kaka Bonda plus mama Rahmanino(RIP) ndani ya chuchuchu clouds enzi hizo.
4. Watangazaji wa rtd kipindi cha majira kama ifuatavyo:
-Nswima Ernest (kanda ya kati Dodoma)
-Ben Kiko (Tabora)
-Richard Leo (Musoma)
-Ahmed Jongo (sijui)
-Salim Mbonde(sijui)
5. Rando Mabula na Malima Ndelema ndani ya chaguo la msikilizaji rtd
6. Lenard Mambo Mbotela ndani ya KBC kipindi cha huu ni uungwana
7. Elisia Isabula rtd mama na mwana
8. Janeth Sosthenes Mwenda Talawa akiwa radio one akisoma taarifa ya habari
9. Rehema Mwakangale (RIP) ITV taarifa ya habari
10. Wengine nikiwakumbuka ntawatajieni.
Manzese Kitambo! Deborah Mwenda na Kipindi Chake cha Mama na Mwanaa! Chezea Ua Jekundu wewe!