Hivi unanwakilisha nani kwa hivyo vijiswali vyako vya kipuuzi?Je! Chama hiki unaweza kukifananisha na sehemu ipi katika nyumba zetu?
Tatizo hatuna mbadala wa CCM. CCM kama organization imesukwa vizuri ndiyo sababu ni stable at the same time strength yake ndiyo weakness kubwa kwamba pamoja na kusuiwa vizuri actors wake wengi hawana vision na wameamua kuwa wabinafsiNaifananisha CCM na Taasisi iliyoshindwa kazi lakini bado inang'ang'ia uwepo wake kwa kutumia hila hadaa na nguvu na intimidation pamoja na wizi wa kura na mizengwe.
Chama cha matapeli (CCM)Tukiwa tunaelekea kuufunga mwaka 2023, na CCM kikiwa kimeshika madaraka kwa miaka 46 mfululizo toka kilipozaliwa na mwaka 1977 Je! Kwa tathimini ya haraka, chama hiki tunaweza kukifananisha na sehemu gani katika nyumba ama jengo ambalo ndani yake wananchi wanaishi?
Je! Inaweza kufananishwa na jiko, ambapo ndani yake mapishi mbalimbali ya fikra pevu huandaliwa na kupikwa kwa ajili ya wananchi? Je! Tuifananishe na "dining room" ambapo wananchi hujumuika kunapata lishe mbalimbali kupitia milo tofauti ya kila siku?
Je! Tuifananishe na "living room" ambapo wananchi wanakaa kwa ajili ya mijadala, mapumziko ya muda, maongezi, kuburudika, ama hata kuonana na wageni mbalimbali? Je! Tunaweza kuifananisha na "bed room" ambapo wananchi waliochoka na pilikapilika za kila siku wanaweza kumpumzika kwa muda mrefu?
Je! Chama hiki unaweza kukifananisha na sehemu ipi katika nyumba zetu?
Wananchi tunaamini kuna mbadala ndio maana kila tukichagua mbadala CCM wanamleta JECHA kuharibu Uchaguzi.Tatizo hatuna mbadala wa CCM
Anzeni kuwa na democracy ndani ya chama chenu kwanza ndipo Mje mtuambie ni mbadalaWananchi tunaamini kuna mbadala ndio maana kila tukichagua mbadala CCM wanamleta JECHA kuharibu Uchaguzi.
Tunaoamini katika mbadala ni sisi Wananchi na sio Chawa kuja Jf kutupangia.
Wakati mnamtuma Jecha aharibu Uchaguzi ni Chadema ndio ilikuwa inaongoza?Anzeni kuwa na democracy ndani ya chama chenu kwanza ndipo Mje mtuambie ni mbadala
hahaha..dah! hiyo ndo mbaya sanaNaifananisha na Pauline Gyekuli.
Inatufanya kama alivyomfanya yule kijana kule Manyara!!
Ni upuuzi pia kujibu vijiswali vya kipuuzi 😁Ni jambo la kipuuzi pia kushindwa kujibu vijiswali kama hivi katika kambi ya fisi.