PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,821
Afu wewe?ungejua jinsi comment zako zinavyonitia mshawasha warahi ungenihurumia japo ukaja PM nikupe yanayonisibu kuhusu wewe mwandani mamii.Kila binadamu na starehe yake
Alafu wapo wanaopenda wavuta shisha pia
Unapenda wavuta shisha?Afu wewe?ungejua jinsi comment zako zinavyonitia mshawasha warahi ungenihurumia japo ukaja PM nikupe yanayonisibu kuhusu wewe mwandani mamii.
Joanah,sikufichi,wewe hata ukivuta sumu mimi nakupenda kufa.Njoo PM basi baby au ?Unapenda wavuta shisha?
Kwahyo unadhani sisi tunapanda mnavyonuka mi sigara hiyo?Kwa kweli hawa wanawake/wasichana wanaovuta sigara nimetokea kutowapenda hata sijui kwanini nahisi sigara zilitengenezwa kwa ajili ya kutumia sisi wanaume ila wanawake nadhani wanafosi tu hawapendez kabisaa kuvuta sigara... unakutana na msichana mzurii ile unaanza kuongea nae ghafla unasikia harufu ya sigara ikitoka kinywani mwake aarrgghh
kumbukeni nyie wanawake/wasichana ni maua ya dunia mnatakiwa mnukie sio kunuka mimoshi ya sigara