W web engineer Member Joined Mar 19, 2012 Posts 55 Reaction score 0 Apr 19, 2012 #1 jamani kwa wale wadau wanao tafuta mchumba,hii ni site yenu! gonga hapa Online Dating at Swahili Singles asante
jamani kwa wale wadau wanao tafuta mchumba,hii ni site yenu! gonga hapa Online Dating at Swahili Singles asante
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,419 Reaction score 88,754 Apr 19, 2012 #2 Ndio natafuta mchumba!
OTIS JF-Expert Member Joined Sep 7, 2011 Posts 2,252 Reaction score 833 Apr 19, 2012 #3 Kama wachumba wenyewe ndio wamejazia kama huyo hapo mie naomba kutoa jina OTIS
W web engineer Member Joined Mar 19, 2012 Posts 55 Reaction score 0 Apr 19, 2012 Thread starter #4 click hii link mkuu Online Dating at Swahili Singles
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,859 Apr 19, 2012 #5 Hiyo ni dating sio mchumba....
Laigwanan76 JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 551 Reaction score 153 Apr 22, 2012 #6 Tatizo wengi wameweka picha sia zao na wengine wameweka picha za vikaragosi/vibonzo/wanyama......kaazi kweli kweli
Tatizo wengi wameweka picha sia zao na wengine wameweka picha za vikaragosi/vibonzo/wanyama......kaazi kweli kweli
Kite Munganga Platinum Member Joined Nov 19, 2006 Posts 1,773 Reaction score 952 Apr 22, 2012 #7 Laigwanan76 said: Tatizo wengi wameweka picha sia zao na wengine wameweka picha za vikaragosi/vibonzo/wanyama......kaazi kweli kweli Click to expand... Ni hapo utakapokutana naye!
Laigwanan76 said: Tatizo wengi wameweka picha sia zao na wengine wameweka picha za vikaragosi/vibonzo/wanyama......kaazi kweli kweli Click to expand... Ni hapo utakapokutana naye!
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 15,117 Reaction score 16,500 Apr 22, 2012 #8 Acheni mambo ya ajabu nyie watoto, hivi mchumba anapatikana kwenye masoko namna hiyo? Sema kama unatafuta kiruka njia wa kuruka naye mitaani wakati unatafuta ukimwi
Acheni mambo ya ajabu nyie watoto, hivi mchumba anapatikana kwenye masoko namna hiyo? Sema kama unatafuta kiruka njia wa kuruka naye mitaani wakati unatafuta ukimwi
M Mangungu JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 2,405 Reaction score 3,061 Apr 22, 2012 #9 Mchumba hata hujawah mit nae? Siku hz mchumba must umjue bwana ebo
M Mwemezi Benard New Member Joined May 13, 2014 Posts 3 Reaction score 0 Oct 17, 2014 #10 Inategemea!
Stev0909 Member Joined Oct 19, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Oct 19, 2014 #11 ila kujuana muhimu sababu tunaona matukio mengi ya ndoa kwa wana ndoa kushindwa kuvumiliana baadhi ya mambo.
ila kujuana muhimu sababu tunaona matukio mengi ya ndoa kwa wana ndoa kushindwa kuvumiliana baadhi ya mambo.
Aventus JF-Expert Member Joined Mar 8, 2013 Posts 2,011 Reaction score 2,176 Oct 19, 2014 #12 Hv wachumba wameisha mazngra uliyopo ama utakua na mapungufu yko bnafs