Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa?
>Mshahara Tsh 600,000/= kwa
mwezi.
>Mda wa kazi kuingia saa 2.30
asubuhi
hadi saa 10 jioni.
... >Allowance 300,000/= kwa
mwezi.
>Siku za kazi jumatatu hadi
ijumaa.
>Usafiri na nyumba ya kuishi upo.
Requirements..
>Cheti cha form 4 na form 6 {CSEE
& ACSEE}
>Elimu ya chuo. {Diploma au
Bachelor degree}.
>Hakuna uzoefu unaohitajika.
>Umri chini ya miaka 45.
Kama unahitaji hiyo kazi, basi
usijali.
Njoo ungana na mimi tuanze
kuitafuta
manake hata mimi ninatafuta kazi
hiyo..!!
#sorry kwa kukuweka juujuu