Thanks mkuu! but we are told to take time to think.. it is our greatest power!
oh! please amend your constitution!^^
Thinking is not only power but also a gift that we are priviledged!
Thinking that adds or removes something to creation is against my constitution.
^^
Wana nini?mie wangu kanizidi kidogo and i like it......ila wanasema wanaume warefu wana...:A S-baby:.......
Himidini cna button ya like katika simu,lakn nimependa sana busara hizi,maana ni wachache wanazo,na weng wetu tunapenda kukmsoa watu kutokana na maumbile yao wakat hatuwez kuumba kitu chochote nasi tupate sifa na kutukuzwa^^
Sikufunzwa kutoa dosari kiumbe ambae sikumuumba ila yule niliyemchora kwa penseli tu.. Mapendeleo yoyote yale yampendezayo muumbaji yananistahili
^^
Huoni utataseka sana, ukitaka kumpiga kiss lazima upande kwenye tofali... hapo vip hapo kwanin usiwe na mfupi mwenzako?It better mwanaume ndo anizod urefu atleast nimfikie began
Hivi urefu gani huo, mtu akiwa na cm ngapi ndo ataonekana mrefu? mi niko around 177 ila najiona bado mfupi.... average ya urefu ni ngapi hiv?Mume mrefu ndio maneno, anizidi kwa 7cm - 10cm.
Himidini cna button ya like katika simu,lakn nimependa sana busara hizi,maana ni wachache wanazo,na weng wetu tunapenda kukmsoa watu kutokana na maumbile yao wakat hatuwez kuumba kitu chochote nasi tupate sifa na kutukuzwa