Excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 19,743
- 10,073
habari zenu wana mmu...
kuna jambo moja huwa najiuliza sana, jibu ninalopata huwa limelalia upande mmoja tu, wanaume hupendelea kupata wanawake wanaowazidi urefu.. na wanawake hufurahia hilo kwa kuwa na wanaume warefu!
je, wanaume wanajisikiaje wanapokuwa na wenzi wao ambao wanawazidi urefu? imagine uko matembezini na baby girl wako halafu anakuangalia ka sarafu iliyo mchangani, how do you feel?
mimi huwa napenda nije kuwa na mwenzi wa maisha ambaye angalau ananifikia begani!! hiyo nzuri, 170cm tall, not bad.
kwa mfano, kwa hizi couple..!
ama sample hii?
(please wekeni factor ya pesa mbali kabisa!!)