Je, unapenda kufanya mapenzi mda gani?

Je, unapenda kufanya mapenzi mda gani?

Alfred88

Senior Member
Joined
Jul 25, 2016
Posts
125
Reaction score
59
Ivi ni mda gani ungependa / ni mzuri kwako kufanya mapenzi..? Na katika mazingira gani?
 
Unataka kutuchabo!???,Wazazi wako umewauliza lakini hili swali!???
 
We nimekuelewa, lakini nataka kujua kama ukiwa na genye mwenzio akiwa hana inakuwaje apo?
Muulize baba yako huwa anafanyaje,si ndo kakuzaaa so mtakuwa mnafanana hata akili muulize
 
We nimekuelewa, lakini nataka kujua kama ukiwa na genye mwenzio akiwa hana inakuwaje apo?
Unavumilia tu maana mapenzi matam ni Yale mloridhiana bila kulazimishana. Japo unaweza kumfanya MTU wako ambaye hana hana akawa nayo bila shaka. Unatakiwa uwe mtundu usiwe kauzu
 
Mchana hii ni kuwaweza wale madem wanaopenda giza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom