KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 876
Huyu malkia wa sisimizi tu. Nyuki mnawajua nyinyi
hiyo picha ya pili
inanisikitisha sana,badala ya kutambulisha jezi ya simba wanatambulisha
ya sunderland...maskini nchi yangu
Da mkuu umeniacha hoiiii!!natamani ningelike sema nipo kwa mobile!sina mbavuuuuu!!
hiyo picha ya pili inanisikitisha sana,badala ya kutambulisha jezi ya simba wanatambulisha ya sunderland...maskini nchi yangu
wewe mi nipo kwa pc,inabonge la chogo,ngoja nikugongee LIKE ndo uamini..kamata hiyokumbe wewe upamoja na kina yahoo