Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,955
Mkuu Bujibuji Afadhali wewe unaye sinzia kila sekunde mimi sipati kabisa usingizi usiku napata usingizi nikisha swali alfajiri ndio ninaweza kulala usiku ninashindana na Computer yangu. Wewe unasinzia wakati gani? usiku au mchana?MziziMkavu, vipi sisi tunaosinzia kila sekunde, ni ugonjwa gani huu? Nimepima malale nimeambiwa sina
MziziMkavu, vipi sisi tunaosinzia kila sekunde, ni ugonjwa gani huu? Nimepima malale nimeambiwa sina
Mkuu Bujibuji Afadhali wewe unaye sinzia kila sekunde mimi sipati kabisa usingizi usiku napata usingizi nikisha swali alfajiri ndio ninaweza kulala usiku ninashindana na Computer yangu. Wewe unasinzia wakati gani? usiku au mchana?
Afadhali ya nyie mnaosinzi muda huo, mie nishasahau kama huwa kunakunalala!