Je unakijua hiki? Must collage.

Asu tz

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
336
86
Hbr wana jf wooote!!
Natumain mpo poa kabisa! Ok nianze moja kwa moja na maada ambayo imenileta hapa.
Kuna hk chuo kipo maeneo ya ubungo plaza, tumeskia matangazo yake sana hasa redio clouds kwamba chuo hk kina chukua wanafunz wote waliomaliza kidato cha nne sifa zao za kujiunga atleast uwe na chet tu.
Sasa wakuu kwa mitazamo yenu kwa koz ambazo wanatoa ni nzur or ndo bora koz?

Unaweza tembelea website yao ambayo ni www.must.ac.tz
Naiwasilisha kwenu.
 
Back
Top Bottom