Wazee wa kitonga tunatosa maganga gangilongaMna laptop za elfu 80?
Mwaka gani uliwapelekea?sio wa kuamini kabisa nyinyi, nilileta laptop haikupona na hela mlichukua, nilichukia sana elfu 50 yangu mkaila hivihivi bila huruma tena mlaaniwe
2018Mwaka gani uliwapelekea?
Duh pole mkuu. Walikuwa wanakukaribisha mjini.2018
Hapana laptop elfu 80 mbona utani huo sasaMna laptop za elfu 80?
Sio kweli muogope muumba wako km laptop inasumbua tunafanya uchunguzi kwanza na kukuambia tatizo na kulitatua kisha unalipia.sio wa kuamini kabisa nyinyi, nilileta laptop haikupona na hela mlichukua, nilichukia sana elfu 50 yangu mkaila hivihivi bila huruma tena mlaaniwe
Desktop inategemea specificationMkuu nina shida na Disk Top computer nitapata?
je nibei gani
2018 sijapokea kesi hiyo wala hatujawahi kuchukua hela mtu2018
Unajua km ofisi ina mtu wa IT lazima iwe na sehemu kupokea computer zenye matatizo kurekebisha matatizo (mbovu) mfano mteja analeta computer na ukiwasha window ipo corrupt au hdd imeshake lazima ufanye marekebisho (pc maintenance)Hakuna biashara hapo! Hauwezi kuuza halafu eti unatengeneza zilizo mbovu!!!
Nina jero napata mtambo hapo
HongeraUnajua km ofisi ina mtu wa IT lazima iwe na sehemu kupokea computer zenye matatizo kurekebisha matatizo (mbovu) mfano mteja analeta computer na ukiwasha window ipo corrupt au hdd imeshake lazima ufanye marekebisho (pc maintenance)
Matengenezo nmegusia upande wa hardware na Software km unajua computer
Hardware inaweza kuwa Ram, Fan za laptop au desktop etc
Software inaweza kuwa Anti virus , Os etc
Huwez ukawa unauza computer alafu una mtu wa IT yupo amekaa tu na mteja ameleta laptop yake anasema ina shida unaweza kumjibu mteja sisi tunauza tu computer haturekebishi wala kutatua ila km IT yupo ndo atafanya kazi hyo na pia itarahisi kazi kwa mteja kuanza kuzunguka zunguka wakati tatizo lingetibiwa pale pale
Laptop used bei zenu zinaanzia sh.ngapi?Hapana laptop elfu 80 mbona utani huo sasa
350,000Laptop used bei zenu zinaanzia sh.ngapi?
Ni vyema ungeweka picha chache ambazo ni halisi na bei zake350,000