Je Unahitaji Internet.??

Je Unahitaji Internet.??

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Wadau habari zenu.?

Baada ya utafiti wa kwenda sehemu nyingi za starehe na burudani,nikaja kugundua kuna umuhimu wa sehemu hizo kuwa na WIRELESS INTERNET CONNECTION,hivyo basi nachukua nafasi hii kuwaalika wamiliki/mameneja wote wa BAR,RESTAURANT,CLUB ZA MUSIC,KUMBI ZA SHEREHE,NK.Kuwasiliana nami kwa jili ya kupata kuunganishiwa huduma hiyo muhimu kwa wateja wenu.

Gharama zake ni 250,000 (Ikijumlisha vifaa na unlimited Internet ya mwezi mmoja) baada ya hapo utakuwa unalipia 50,000/= kwa mwezi kwa ajili ya kununua Intenet bundle ya Unlimited.

Kama unahitaji huduma hiyo niPM au nipigie 0713260027 | 0787140432.

Niko Arusha,ila naweza kwenda na sehemu nyingine ikiwa utakuwa tayari kulipia gharama za usafiri.

Asanteni.
 
wazo zuri!si tu bar na hizo sehemu ulizo zitaja hata majumbani watu wanataka reliable mtandao!
 
Mkubwa hebu tupe details.Umbali gani kutoka Arusha huu mtandao unafanya kazi? Speed ikoje?reliability???Funguka mkuu ili tujue if it is worth calling you.
 
wazo zuri!si tu bar na hizo sehemu ulizo zitaja hata majumbani watu wanataka reliable mtandao!
Ukitaka unaweza kufungiwa sehemu sehemu yeyote iwe nyumbani,Bar,Restaurant nk
Chaguo ni lako.!
 
Mkubwa hebu tupe details.Umbali gani kutoka Arusha huu mtandao unafanya kazi? Speed ikoje?reliability???Funguka mkuu ili tujue if it is worth calling you.
Hii Internet inafaa kwa sehemu yeyote yenye network nzuri ya mitandao ya simu za mkononi (3G),Speed ni ya kawaida siyo kasi sana ila inakupa uhuru wa kufanya chochote kwenye internet.Kama nilivyosema inategemea mitandao ya simu za mkononi,kwa hiyo kama network ya simu ipo na network ya internet ipo pia.
 
Asante kwa wote mnaonipigia simu na kuweka oda zenu za kufungiwa huduma hii rahisi kwa gharama kuliko nyingine.! KUMBUKA mimi siyo ISP(Internet Service Provider) mimi ni muuzaji wa hivyo vifaa na ninakuunganishia internet,kisha wewe mwenye unachagua unataka utumie mtandao upi kwa ajili ya kupata data/internet.
 
Back
Top Bottom